Duzente Siqwente
JF-Expert Member
- Aug 6, 2012
- 265
- 59
Kesho asbuh allah akijaalia nasafiri kwenda mozambique kwa yeyote anayehtaji chochote wkat wa kurejea nimletee anijuze
Nasikia panya wa huko wana afya sana naomba niletee 2 tu,kama bei imepanda tutamalizana ucjali
Hawaitwi panya bana,wanaitwa 'chamaki nchanga'.(gotcha be politically correct mama mpendwa).
Okeey nashukuru sana kwa kunifundisha jina halisi
Ukiweza niletea ndom za huko nifanyie comparison, nitashukuru!
hahahaa, kwan za huko zina camera?