ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 43,042
- 49,727
Ushindani wa kibiashara ya usafirishaji unazidi kushika Kasi kutokana na Kila Nchi kuzidi kuboresha miundombinu yake Ili kuvutia wafanyabiashara wa Nchi zisizo na Bandari.
Marais wa Nchi za Malawi,Zambi na Mozambique wamezindua ujenzi na upanuzi wa Miundombinu ya Nacala Port Nchini Msumbiji.
Ikumbukwe Nacala Port Iko Kaskazini mwa Msumbiji ambayo ni very Short cut Kwa Nchi za Malawi na Zambia kuifikia Bahari.
Habari hii ni mbaya sana hasa Kwa Bandari ya Dar na Mtwara kiasi kwamba itaathiri pakuhwa sana Bandari zetu Kwa kupungua Kwa mzigo wa Zambia.
Kanakwamba haitoshi Zambia na Angola Kwa Kushirikiana na Marekani na Ulaya zinajenga reli kwenda Bandari ya Lobito na hivyo kuzidi kuweka Mashakani Dar Port
On top of that nimeona sehemu Zambia,Malawi, Mozambique,DRC na Zimbabwe zimeingia MoU kutafuta pesa Ili kupanua zaidi Bandari ya Beira na kujenga reli ya SGR Hadi kwenye Nchi hizo kitu ambacho kitaua mazima Bandari zetu Kwa kuwa hiyo Beira is very short distance kuliko Dar.
View: https://twitter.com/TheAfricaReport/status/1720563001017635329?t=tsGdQ-YHNwI7FuY83RrEtg&s=19
My Take
Tupambane tuu kukuza uchumi wa ndani ili Bandari zetu zitegemee zaidi mzigo wa ndani kuliko wa Nje.
Hao wa Nje iwe ni ziada tuu Kama ilivyo Mombasa Port.

Expansion Planned At Mozambique's Beira Port
The government of Mozambique and its partners plan to invest US$290 million over the next 15 years on expanding and modernising the central port of Beira, the Mozambique Information Agency (AIM) reports. According to AIM, the announcement was made by Minister of Transport Mateus Magala at an...
www.constructafrica.com