Nakwenda Mozambique

Nakwenda Mozambique

Duzente Siqwente

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2012
Posts
265
Reaction score
60
Kesho asbuh allah akijaalia nasafiri kwenda mozambique kwa yeyote anayehtaji chochote wkat wa kurejea nimletee anijuze
 
mimi nikutakie kheri tu...uende salama na urudi salama! ukiguswa niletee chochote kitu.
 
Eebwana Msumbiji ndiyo home au ?
(thought question source , your username! )
 
Nasikia panya wa huko wana afya sana naomba niletee 2 tu,kama bei imepanda tutamalizana ucjali
 
Nasikia panya wa huko wana afya sana naomba niletee 2 tu,kama bei imepanda tutamalizana ucjali

Hawaitwi panya bana,wanaitwa 'chamaki nchanga'.(gotcha be politically correct mama mpendwa).
 
Ukiweza niletea ndom za huko nifanyie comparison, nitashukuru!
 
nitarejea huko september. Urudipo nijuze hali ya ndugu zetu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom