Mwalimu wa Chemisty na Biology, natafuta kazi

wa log

Member
Jul 1, 2015
71
47
Mimi ni mwalimu wa masomo ya biolojia pamoja na kemia, Graduate(UDSM) Ninatafuta kazi.

Nimetuma maombi sehemu mbalimbali kwa njia ya email na watsup lkn sijaitwa hata sehemu moja.

Ninaomba msaada kama kuna yeyote mwenye connection anijuze. Kwa sasa nipo dar-es-salaam lakini nipo tayari kwenda mahali popote Tanzania kufata kazi.
 
Mkuu masomo ya olevel ulifaulu vzr? Usione hauitw interview hua wanaangalia sana ufaulu wa hayo masomo husika kwa olevel,pia mzee kama upo mjn anzsha hata twshen centre kwa primary pupils
 
Kama ulifaulu vizuri,andika cv yako vizuri cover letter na supporting document toa kopy kumi sambaza shule kumi nzuri nzuri nenda kaendelee na mishe zingine,kama vyeti havieleweki utapata tabu sana

Sent from my HUAWEI MLA-AL10 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom