Nakupenda sana Shetani

Hongera sana.. Uko very deep indeed .ni kweli shetani amenufaisha watu wengi sana ila kuna watu wanajifanya kuwa hawautambui mchango wake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba mwenye koneksheni na shetani aniunganishe ili nimuulize maswali mawili Matatu,dini zote zinamtupia madongo yeye halafu hakuna sehemu waliyompa nafasi ajitetee
Nalog off
Hahaha ... Hizi dini hizi ni pyramid scheme mkuu... Ujanja janja tu hamna kitu ... Shetani ni nadharia tu ... Kama alivyo kipepe au lodilofa wa kwenye gazeti La sani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unasema Mungu hakudhamiria kuishi pamoja na wanadamu but devil has made that. Je, Mungu hana msimamo?
Mungu anabadilika?
Mungu hajui la kesho?
Mungu mwenyewe anaonyesha kuwa hajielewi

Maandiko yana mnadi kwamba anajua kila kitu mpaka ya kesho .. Halafu hapo hapo yanasema kwamba mungu amemuumbia binaadamu mitihani ili kumjaribu kama imani yake ipo thabiti kwake

Swali la kujiuliza Huyu mungu sianayajua ya kesho sasa inakuwaje tena ana mpima mtu imani yake tena INA maana kwamba hana uhakika kwamba imani ya mtu huyo ni ya dhati kwake .... Kama ameshindwa kujua kuwa imani ya mtu huyo ni ya dhati anawezaje kuyajua ya kesho .... ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo ndio utajua kuwa dini hizi ni janja janja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha well said

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha maswali mazuri hadi raha.... Eti sijui malaika wakamchukua shetani wakaenda kuishi nae peponi ..eti sijui baadae jini huyo akamkana mungu ....yaaani kama hadithi za juma na uledi ... Ujinga mtupu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni wapumbavu tu wasiompenda shetani, kama mungu mwenyewe alimpenda hakumtenda vibaya baada ya kumkosea (kwa niaba yamandishi baiboz), wewe mwanadamu unamchukiaje......

Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu ana uwezo wa kumgeuza shetani juu chini,kulia kushoto

akam'benua akamfirigisa lakini hajafanya hivyo kamuacha makusudi

mimi ni nani hadi nimchukie huyo shetani kiasi cha kumlaani na kumpoteza?
 
Unamaanisha unampenda shetani muovu?
Mungu ana uwezo wa kumgeuza shetani juu chini,kulia kushoto

akam'benua akamfirigisa lakini hajafanya hivyo kamuacha makusudi

mimi ni nani hadi nimchukie huyo shetani kiasi cha kumlaani na kumpoteza?
 
Bado malaika wanawasujudia binadamu mpaka sasa hivi?
 
Fix tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…