Philip Dominick
JF-Expert Member
- May 26, 2013
- 1,021
- 189
Dont love me khakaa
najua unao weng kama madame b,ila ntakuganda wewe tu
Dont love me khakaa
nimempendea matoke
najua unao weng kama madame b,ila ntakuganda wewe tu
philip dominick sijajua kama naweza kumkuta Madame B hata kwa kuruka
philip dominick, nini wamfanyia dadayo?
Tuliho Nkwingwa,bageshage koi.............
Nilipokuwa mdogo nikiwa naenda shule nilikuwa nikiingia bafuni siogi,namwaga maji chini halafu baadae najipaka kwenye nywele,mikono ili nionekane nimeoga
Zikiwa mbili waweza punguza ili ikutoshe.
Mamndenyi Vs Madame B nani mtata?mkwara mbuzi tu huo
wewe ni wa mbili mimi ni wa moja
waweza kuvaa moja na mimi nivae mbili?
copy: mwalimu saudari