Queen Kan
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 5,302
- 9,102
queen kan, naruhusiwa kukutongoza..??sababu lady doctor anataka kunikagua kwanza....
mi sitaki ndoa, labda kama unataka kua kidumu!!
Last edited by a moderator:
queen kan, naruhusiwa kukutongoza..??sababu lady doctor anataka kunikagua kwanza....
Hivi Mamndenyi ndo amekua mteremko kiasi hichi?
mi sitaki ndoa, labda kama unataka kua kidumu!!
umenielewa vibaya,kukutongoza naweza kuwa naomba kufanya biashara na wewe.mfano mdogo tu, ni kama nataka kulisha sherehe ya mdogo wako,si inabidi nikutongoze kwanza ili unipe hiyo deal.ila bado nampenda mamndenyi wangu
Huyu mtakatifu ndo mteremko. Yaani talaka inatangazwa tu afu nae anataka kupokea kijiti. Hasubiri hata dada wa watu afanye service na kumwaga oil? Kha!
Ila Mwita Maranya ni ankal wangu lakini ataipata. Shauri yake!
haya tenaa, kweli mbaaz ikosapo maua,....ujue mamndenyi ni my mum! Shaurilo
ndio maana ulikuwa unaniuliza yale maswali..inawezekana we ndio ukawa mwanangu niliye dhulumiwa na mwita maranya
Ndiyo huyohuyo Shefa la matoke!
sikukatai ila hebu ngoja kwanza....
nini tena sasa! Au hizi nywele za kiarabu zakutisha dady?
mh unazidi kunitisha hebu njoo pm kwanza tumalizane....
thaminisha hiyo pm basi..
hapa kinaendelea gani?
subiri hapohapo, usiondoke