Mamndenyi
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 40,598
- 52,296
kinachokufanya uniitie wa ubani wangu hapa ndo nini
kinachokufanya uniitie wa ubani wangu hapa ndo nini
Konnie alishakuachia, hujagundua konnie ana ingizo jipya mtaani?
Very soon nitali-publish
Uamuzi huu nimeuchukua baada ya kusoma post ya Mwita Maranya na ninamuambia kabisa kuwa kisichokuwa na thamani kwako kwa Mungu kina thamani wewe ukisema mke gani wenzio wanamuona anapendeza
Naomba hii aione Filipo.....
zombie umempiga chini?
kaka kumpenda dadaye!! Lol!! Za asubuhi dada madame b
philip dominick sijajua kama naweza kumkuta Madame B hata kwa kuruka