Kichaa Msafi
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 1,090
- 2,141
- Thread starter
- #121
nashukuru mkuu kwa kunisaidiaJiweke kwenye nafsi yake, ingekua kua ww kweli ungesubiri muda wote huo.
nashukuru mkuu kwa kunisaidiaJiweke kwenye nafsi yake, ingekua kua ww kweli ungesubiri muda wote huo.
Nakupenda sana wewe binti.....sema tu ndo hivyo wizara ilikutupa bush.Duh maskini!!! Sipati Picha huyo Dada atavyoumia!!! Hu! Hu ! Hu!! Pole yake maskini! Haya mambo ya dini huwa magumu loh
Kafiri maana yake nnUlifanya vyema sana katafute kafiri mwenzio
lakini si bado ulikua ukiwasiliana nae???nilikuwa nampenda sana yule kiumbe ila kilichotokea ni kwamba nilifanya vile faster kuondoa mawazo maana sikutegmea kama ingekuwa vile maana nilijiaminisha 100% atakuwa mke wangu, so ningeendelea kuwa mpweke nahisi ningeathirika zaidi
ni mara chache sana mara ya mwisho ilikuwa february kabla hajanitafuta tena tarehe 10mwezi huulakini si bado ulikua ukiwasiliana nae???
kwa hiyo wakati mnaendelea kuwasiliana ulikua unajua bado anatry kuwashawishi wazazi wake kuhusu hiyo issue?ni mara chache sana mara ya mwisho ilikuwa february kabla hajanitafuta tena tarehe 10mwezi huu
Haramu kwa uelewa wanguKafiri maana yake nn
Nakupenda sana wewe binti.....sema tu ndo hivyo wizara ilikutupa bush.

dah aisee nimeshindwa niandike niniHukumpenda wewe, kama ungemjitaji si mngeanza kuzaa mtoto wa kwanza, wa pili ungepewa mke.
Poa mkuu, yameshapita hayo. Angalia usijekutwa kama ya yule mchezaji wa zamani wa Arsenal Eboue ukauacha utajiri wote huko Bondeni.dah aisee nimeshindwa niandike nini
Kibao cha Mbwa mkali kimetolewa kimewekwa kibao cha Tunauza ice cream hapanahisi wameona inaanza kuwa jioni hakuna aliyegonga mlango
Kumbe umeitumia km za kutosha mkuu?kama kuzini tulishazini sana toka akiwa kidato cha 4