Mke wangu alinisamehe lakini ananipa tena masharti ya Kunyoa

Mke wangu alinisamehe lakini ananipa tena masharti ya Kunyoa

Kubwjing

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2025
Posts
3,209
Reaction score
5,807
Mke wangu Mimi nilimkosea kwa kumwambia yeye ni Mfupa na ngozi tu hana nyama kisa ni Mwembamba akaninunia sana mpaka mimi nikaumia nikaona nimefanya Dhambi kwasababu hakujiumba yeye kuwa Mwembamba sana

Tunapendana sana sasahivi hadi ameshasahau lakini tangu juzi ananilazimisha kunyoa ndevu zote na kupunguza nywele kichwani, anasema hata Baba yake alikuwa anaacha manywele machafu halafu mama yake akambadilisha mpaka sasahivi Baba yake ni Muislam haswa ila hana hiyo sunna ya kufuga ndevu.

Mpaka anasema atamwambia Mtoto wangu na watoto wengine wakiniona waniite Mr. MADEVU badala ya Baba
Sasa mimi nimemwambia nikinyoa ndevu nayeye anyoe nywele kwasababu sitampa hela ya kusuka akaniambia nithubutu tu
 
Kuna siku atakuambia uvae sidiria zake utaanza kuvaa pia. Uwe mvumilivu
 
Siku nyingine usuwahi mtania mwanamke utani unaolekea na ukweli utajuta

Na hapo hajakusamehe siku ukiharibu tu anajua sababu ni yeye kutokuwa na nyama nyama nyingi😂
Siku nyingine usuwahi mtania mwanamke utani unaolekea na ukweli utajuta

Na hapo hajakusamehe siku ukiharibu tu anajua sababu ni yeye kutokuwa na nyama nyama nyingi😂😂
Mimi simtanii hata. Jana tulikuwa tunaangalia muv ya QUEEN & SLIM nikamwambia kuna slim na Thin...akasema yeye ni Slim Lady, nikaacha hizo story ili nisimtanie
 
Msalimie mkeo mwambie kuna njema JF tunapenda sana wanawake wembamba. Weka namba zake kabisa hapa.
 
Je hauna Account Facebook ili baadhi ya post uwe unapost huko ? Maana dahaaa!!
 
Back
Top Bottom