papuchi zinafanana tu kaka lakini kwa kuwa umeamua nakukaribisha hukuEe bwana kichaa msafi hongera sana kwa kuoa mzulu, nawamind sana mademu wao. Naomba unitafutie contact za Pumza Fihlani, kale kademu nakazimia ile mbaya na kako very bright ile mbaya si kama hawa dada zetu wanaohisi kupost picha za vichupi Ista na facebook ndo umaarufu ama uzuri. Yaani nimewachoka.
ahsante mkuu itabidi niyaoge maana nishayavulia nguoPole mkuu...ila kwa mzulu utakoma!
I know them much!
ni kweli mrembo mrembo maseratiHii hatari. Lakini haya huwatokea wengi sana
sio kusudio langu kumliza lakini haina jinsi mkuuMwaka juzi na sasa vyuma lazima vimekaza.
Wajomba watamsaidia kupata mume.. huyo baba nae atamlea mwanae hadi hao wanaume wengi wamjie.
Unaliza mtu leo jamani.. duh
pole sanaMKUU SITUATION KAMA YAKO MM NAIPIYIA MDA HUU ILA NATAKA NIJIKAZE KISABUNI NIFANYE JAMBO LA MAANA
nilikuwa nampenda sana yule kiumbe ila kilichotokea ni kwamba nilifanya vile faster kuondoa mawazo maana sikutegmea kama ingekuwa vile maana nilijiaminisha 100% atakuwa mke wangu, so ningeendelea kuwa mpweke nahisi ningeathirika zaidiKama alikuwa anampenda kweli angevumilia coz bidada si alikuwa anaendelea washawishi wazazi wake na at the same time anawasiliana na jamaa
inawezekana vilevileAzalie tu nyumbani umri usimtupe mkono
vipi mkuu changamoto hizi za duniaDuuh
Ndio hivo, kuna mwana dada mmoja enzi hizo tupo vijana wabichi bado ilikuwa nimuoe akaleta ukakasi kwa kushirikiana( kushauriwa/ ana) na dada yake nikaona mngh! Huyooooo nikaendelea na hamsini zangu, mwaka jana nimekutana nao eti wanaomba msamaha walikosa nijirudi nimuoe, mie khaaaaa! siwezi ndoa ya wake wawili- Oooh basi naomba hata kuzaa mtoto na ww, nikacheka tu nikaondoka. Part of lifevipi mkuu changamoto hizi za dunia
Sijui kwanini nimejisikia kichefuchefu.Ulifanya vyema sana katafute kafiri mwenzio
Sasa si utapike au tafuta limao ulambeSijui kwanini nimejisikia kichefuchefu.
Ulifanya vyema sana katafute kafiri mwenzio
wanadamu dada kubaliana na kila kitokacho mdomoni na kichwani mwa mtu halafu kiache hapohapoSijui kwanini nimejisikia kichefuchefu.
Huyo binti alikufa kishujaa! Unakuta wanaokususa kaoa wake 3 kuwatunza hawezi wanawake ndo wanatunza familia.Huu mzimu wa udini unaendelea kuutafuna uzao wa Adam kutoka kizazi hadi kuzazi.
Katikati ya miaka ya tisini kuna bwana mmoja wa karibu sana alikumbwa na hii gharika ya udini. Bwana huyu alikuwa mkazi wa kibaha vijijini kwa sasa ameshatangulia mbele za haki alitengwa na familia ya ukweni kwake kisa kuoa binti wa kiislamu wakati yeye ni mkristo.
Bwana huyu awali alikuwa mwislam safi ila alibadilisha dini baada ya kupigwa injili.
Sasa kwenye harakati za kuoa akajikuta anaangukia kwenye penzi la binti wa kiislam tena baba yake ni sheikh mwenye itikadi kali.
Kimbembe kikaja muda wa kuchumbia, baba akagoma katakata bintiye kuolewa na kafiri kama wanavyowaita.
Binti naye akawa amedata kwa mnyamwezi. Akatoa msimamo wake kuwa yupo tayari kwa lolote hata kubadilisha dini lakini lazima aolewe na jamaa. Mzee nae kagoma.
Binti akaondoka nyumbani kwa nguvu na kwenda kuishi kwa jamaa. Mzee alivyoona binti kashindikana, nae akatangaza jihad, akamkana bintiye, kuanzia leo wewe sio mwanangu, usinijue nisikujue iwe kwa shida ama kwa kheri, usikanyage kwangu na sitokanyaga nyumbani kwako. Nikifa usije kwenye mazishi yangu na wewe kadhalka.
Binti akasema poa, yote kheri na iwe hivyo. Akaenda kwa jamaa na akawa anatimba church kama kawaida. Maisha yakaendelea mwaka 95 akabeba mimba ya kwanza akajifungua fresh.
Mwaka 98 akabeba mimba ya pili lakini wakati wa kujifungua bahati mbaya akakumbwa na mauti lakini mtoto akazaliwa mzima.
Yule mzee alifanya kama alivyo ahidi kwenye maneno yake. Bwana yule akasusiwa msiba na hakuna aliyeshiriki mazishi kutoka ukweni kwake. Aliyafanya yeye na wapendwa wenzie kutoka kanisani. Inasikitisha sana kwakweli.
Kwahiyo mimi naona ulifanya vyema kuangalia ustarabu wako kuliko kukutwa na kama ya huyu bwana. Ni kheri nusu shari kuliko shari kamili.
ahsante mkuu kwa story hii na ushauri wakoHuu mzimu wa udini unaendelea kuutafuna uzao wa Adam kutoka kizazi hadi kuzazi.

Nimekusoma brotherwanadamu dada kubaliana na kila kitokacho mdomoni na kichwani mwa mtu halafu kiache hapohapo
Ila unalichukuliaje swala la kutengwa na wazazi.Huyo binti alikufa kishujaa! Unakuta wanaokususa kaoa wake 3 kuwatunza hawezi wanawake ndo wanatunza familia.
Halafu ni mzinzi, msengenyaji, mwizi, mchonganishi