Nakupenda lakini umechelewa

Nakupenda lakini umechelewa

Dharau zako zimechangia.Wazazi wanamjua mtu yukoje.Kwa mfano hapa tu umetaja kabila "Wamakonde wale"...tabia ni kama ngozi.
Issue siyo dini hapo.
mkuu sina dharau hata chembe, kama nimekukwaza kwa kutaja kabila nisamehe
 
Ila nawe ulikosea. Mi naona laiti kama ungempenda ungepigana na hayo mpaka kushinda. Dini/imani ina manufaa kwa mtu binafsi, wazazi/walezi hawawezi kumchagulia imani.
Kama mliishi miezi 2 nyumba 1 mkishare chumba, kitanda, vikojoleo nk ulishindwaje kuwashawishi hao wamakonde kwamba pepo inatafutwa na mtu mwenyewe?
Sawa baba kijacho ila kuwa makini usijekufanywa Emannuel Eboue
 
Hukumpenda wewe na unaendekeza tamaa! Si ungevuta vuta mda kwanza usikilizie!

Papuchi mpya ushasahau kila kitu, asee mwanaume sio babaako kweli!
Sidhani kama kulikuwa na haja ya kusikilizia wakati wazazi wa binti walishakataa na kusema uhusiano ufe. Mtoa mada nakuunga mkono kwa hili.
 
Hivi ni kwa nn wanahusishwa wazazi wakati wa ndoa na si wakudanga?
Na ipi nafasi ya mzazi katika maamuzi ya mtoto? Kwa hili tutatofautiana namna ya mitazamo kuna ambao wanatumia logic na wengine wanatumia mitazamo ya kiimani ila hii ya kiimani ingependeza km unaifahamu ya A basi jaribu kuulizia na ya B nayo inasemaje ili kupata kufaham unachojadili...
E.G......
Upo India ukamuona ng'ombe ukasema kile ni kitoweo ghafla unashtuka unapigwa kibao na muhindi wa jirani yako kwa kuona umemkashifu kiumbe mtakatifu kwao.
Ukienda kushtaki hii kesi inakuwa mzito kidogo kuihukum kwa kuwa wote wawili munamuamini ng'ombe kinamna tofauti.
Kwa mantiki hiyo wazazi wasihukumiwe saaaana ikumbukwe maelezo ni ya upande mmoja na wadada zetu wakipenda ndo hawaambiliki.
La msingi umesimamia msimamo wako kiongozi kaza na unachoamini.
 
Ila nawe ulikosea. Mi naona laiti kama ungempenda ungepigana na hayo mpaka kushinda. Dini/imani ina manufaa kwa mtu binafsi, wazazi/walezi hawawezi kumchagulia imani.
Kama mliishi miezi 2 nyumba 1 mkishare chumba, kitanda, vikojoleo nk ulishindwaje kuwashawishi hao wamakonde kwamba pepo inatafutwa na mtu mwenyewe?
Sawa baba kijacho ila kuwa makini usijekufanywa Emannuel Eboue
nashukuru kwa kunikumbusha mkuu na ushauri pia japo imekuwa ndivyo sivyo
 
Hivi ni kwa nn wanahusishwa wazazi wakati wa ndoa na si wakudanga?
Na ipi nafasi ya mzazi katika maamuzi ya mtoto? Kwa hili tutatofautiana namna ya mitazamo kuna ambao wanatumia logic na wengine wanatumia mitazamo ya kiimani ila hii ya kiimani ingependeza km unaifahamu ya A basi jaribu kuulizia na ya B nayo inasemaje ili kupata kufaham unachojadili...
E.G......
Upo India ukamuona ng'ombe ukasema kile ni kitoweo ghafla unashtuka unapigwa kibao na muhindi wa jirani yako kwa kuona umemkashifu kiumbe mtakatifu kwao.
Ukienda kushtaki hii kesi inakuwa mzito kidogo kuihukum kwa kuwa wote wawili munamuamini ng'ombe kinamna tofauti.
Kwa mantiki hiyo wazazi wasihukumiwe saaaana ikumbukwe maelezo ni ya upande mmoja na wadada zetu wakipenda ndo hawaambiliki.
La msingi umesimamia msimamo wako kiongozi kaza na unachoamini.
nimekuelewa mkuu
 
udini inaua sana bara la africa...........na hasa wenye hii tabia ni upande wa mwanamke na wanawake wenyewe.......povu ruksaaaa

[HASHTAG]#Atubu[/HASHTAG]
 
dah tena kwa kiwango kikubwa
(HASHTAG)[HASHTAG]#aAtatubu[/HASHTAG] tu# (HASHTAG)
 
dah nahisi inamuumiza sana
Ungemtorosha aisee, naamini yeye angekubali. Sasa hivi ni yeye anaumia, wajomba zake ni wanafiki tu hata kama wanalia sasa hivi. Binti naye hakujiongeza. Lakini pia mshukuru Mungu kwasababu kuna kitu alikukwepesha nacho kama hakuna kati yenu aliyepata wazo la kufosi kingi.
 
ni kweli mkuu wazazi inabidi wajifunze inapofikia swala la mahusiano wawaachie vijana wafanye maamuzi wao wawd ni washauri tu na si vinginevyo
 
Duh maskini!!! Sipati Picha huyo Dada atavyoumia!!! Hu! Hu ! Hu!! Pole yake maskini! Haya mambo ya dini huwa magumu loh
Et mim naona sio Magum ni jambo la kufanya maamuzi Magum tu kati ya wahusika hatua ya mwsho ni kufunga ndoa serikalin basi ila kuachana kisa dini mmh hapan
 
Back
Top Bottom