Kichaa Msafi
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 1,090
- 2,141
- Thread starter
- #101
ndo hivyo mkuuAiaeee.......
ndo hivyo mkuuAiaeee.......
nashukuru japo umeandika upumbavuSAWA LAKINI HAPA SIO MAHALA SAHIHI PA KULETA STRESS ZENU KUNA JUKWAA LA MAPENZI KULE NADHANI NDIO UNGEPATA MAJIBU MENGI SAHIHI ZAIDI HUKU TUNACHAMBUA MATAMKO YA MAASKOFU WETU KWANZA NA HALI YA SIASA YA NCHI YETU KWA PAMOJA
basi mrembo nisamehe bure mimi mkosefuGood
Mtoa mada kakataliwa sababu yeye ni kafiri sasa sijajua kosa langu liko wapi hapo ktk comment hiyo
Mimi ni mkristo ambao waislam wanatuita makafiri
Nisiwachoshe wakuu,
Ipo hivi wakati naishi hapo Dar kabla sijaja huku kwa madiba kutafuta maisha nilikuwa na mpenzi, na tulipendana sana na tulikuwa na mipango mingi sana ya kuja kuishi pamoja na kuanzisha familia, na hata baada ya kuondoka hapo mawasiliano yalikuwepo tena sana ilikuwa haipiti siku hatujawasiliana, na mwaka juzi mwezi wa 11 nilimtafutia pasport na alikuja huku na alikaa miezi 2 kisha tukapanga safari ya kurudi bongoland ili nikatoe barua na kutambulishwa ukweni,
Kabla sijaendelea huyu mwenzangu yeye alikuwa ni muislamu na mimi ni mkristo, baada ya kufika hapa home baada kama ya siku tatu mipango ikapangwa barua ikapelekwa ikapokelewa, siku ya tatu mshenga akaitwa akachukue majibu baada ya kufika pale tukakubaliwa vizuri tu,
utata ukaja kwenye dini maana mimi na huyu binti tulikubaliana yeye ndo atabadili dini anifuate mimi, lakini pale wajomba zake wakataka mimi ndo niwe muislamu walivutana sana maana mama yake alikuwa radhi bintiye abadili dini lakini baba na wajomba walikataa, mwisho wa picha mimi ikashindikana,
Binti alilia sana lakini wamakonde wale yaani wajomba zake hawakutaka kumwelewa, na wakasema kuanzia saa ile uhusiano mimi ni binti yao ufe maana hawakujua kama mwanaume mwenyewe ni kafiri kwani wanaume wa imani yake wako wengi na kama kuolewa ataolewa tuna muislamu mwenzake, mimi nilikubali kishingo upande na kuondoka bongo,
kutokana stress nilizokuwa nazo baada ya kufika hapa nikatafuta mwanamke wa kizulu ili niondowe stress,
Sasa mwezi huu yeye ananiambia mama yake amejadiliana na baba yake wamekubaliana kwamba abadili dini awe mkristo ili tuowane,
mimi sijamjibu maana najua yeye yupo humu jamii forum kama atauwona huu uzi namwambia amechelewa kwani nina mwanamke na ni mjamzito mwezi wa 3 nategemea kuitwa baba, nampenda lakini sina jinsi its to late.
zimefika bila shakaMsalimie mama kijacho
CHUKUA AJIRA HIYO ACHENI POROJO JOB:Secondary School Biology Teacher - LINKO MAGAZINE: FIND JOBS|NEWS|SPORTS

Wewe kafiri ulishaambiwa Halafu kuna watu wamenuna kukubali kuwa kafiribasi mrembo nisamehe bure mimi mkosefu
nashukuru sanaWewe kafiri ulishaambiwa Halafu kuna watu wamenuna kukubali kuwa kafiri
Nikupongeze tu kwa kukataa kubadili dini haijalishi ulimpenda kiasi gani
ahsante sana dadasijui ni kwanini hawa watu wa imani tofauti hutuita Kafiri?? ni nene baya baya kabisa my dear furahi kwakua hujamwacha kristo ndio njia ya uzima hakuna njia nyingine itakayompeleka mtu mbinguni tofauti na Kristo
nashukuru kwa kujaEti na ww una uzi ..idiot
hakupendi huyo demu ila mama mkwe ndiyo anakupenda.Bado Mimi na wewe zamu yetu.Siku hizi watu wanakutania mitandaoni, wanaanzisha mahusiano mitandaoni na kuachana wanapeana taarifa mitandaoni.
Heko mitandao ya kijamii.
Ukhuty ulipotekea WAP wwkaribu
Kweli kabisa bado sisi tuuu!! Sijui hata tunasubiri nini!!!Bado Mimi na wewe zamu yetu.
nipo busy tu siwajuaUkhuty ulipotekea WAP ww
Tunasubiri kengele ilieKweli kabisa bado sisi tuuu!! Sijui hata tunasubiri nini!!!
ndo hivyo mkuuHawa wajomba huwa wana katisha sana mahusiono ya watu
Na mwisho wa siku mabinti ndio huumia.
Jiweke kwenye nafsi yake, ingekua kua ww kweli ungesubiri muda wote huo.Hukumpenda wewe na unaendekeza tamaa! Si ungevuta vuta mda kwanza usikilizie!
Papuchi mpya ushasahau kila kitu, asee mwanaume sio babaako kweli!