Nakupenda lakini umechelewa

Nakupenda lakini umechelewa

kapeace sisi binadamu wote ni sawa usifurahie ujinga wa namna hii huijui kesho yako
Shida nini mi mkristo na najua ubaguzi wao ulivyo, comment yangu inakubali kuwa kafiri na tuoane sisi makafiri soma muelewe km imewakera kunyeni boga
 
Mwanamke alikupenda ndiyo maana alikuwa tayari kwa plan b ya kubadili dini...

Ila wewe hukumpenda ndiyo maana haukua tayari kwa plan b yoyote ya wewe kubadili dini...


Cc: mahondaw
 
Nisiwachoshe wakuu,
Ipo hivi wakati naishi hapo Dar kabla sijaja huku kwa madiba kutafuta maisha nilikuwa na mpenzi, na tulipendana sana na tulikuwa na mipango mingi sana ya kuja kuishi pamoja na kuanzisha familia, na hata baada ya kuondoka hapo mawasiliano yalikuwepo tena sana ilikuwa haipiti siku hatujawasiliana, na mwaka juzi mwezi wa 11 nilimtafutia pasport na alikuja huku na alikaa miezi 2 kisha tukapanga safari ya kurudi bongoland ili nikatoe barua na kutambulishwa ukweni,

Kabla sijaendelea huyu mwenzangu yeye alikuwa ni muislamu na mimi ni mkristo, baada ya kufika hapa home baada kama ya siku tatu mipango ikapangwa barua ikapelekwa ikapokelewa, siku ya tatu mshenga akaitwa akachukue majibu baada ya kufika pale tukakubaliwa vizuri tu,

utata ukaja kwenye dini maana mimi na huyu binti tulikubaliana yeye ndo atabadili dini anifuate mimi, lakini pale wajomba zake wakataka mimi ndo niwe muislamu walivutana sana maana mama yake alikuwa radhi bintiye abadili dini lakini baba na wajomba walikataa, mwisho wa picha mimi ikashindikana,

Binti alilia sana lakini wamakonde wale yaani wajomba zake hawakutaka kumwelewa, na wakasema kuanzia saa ile uhusiano mimi ni binti yao ufe maana hawakujua kama mwanaume mwenyewe ni kafiri kwani wanaume wa imani yake wako wengi na kama kuolewa ataolewa tuna muislamu mwenzake, mimi nilikubali kishingo upande na kuondoka bongo,

kutokana stress nilizokuwa nazo baada ya kufika hapa nikatafuta mwanamke wa kizulu ili niondowe stress,

Sasa mwezi huu yeye ananiambia mama yake amejadiliana na baba yake wamekubaliana kwamba abadili dini awe mkristo ili tuowane,

mimi sijamjibu maana najua yeye yupo humu jamii forum kama atauwona huu uzi namwambia amechelewa kwani nina mwanamke na ni mjamzito mwezi wa 3 nategemea kuitwa baba, nampenda lakini sina jinsi its to late.
SAWA LAKINI HAPA SIO MAHALA SAHIHI PA KULETA STRESS ZENU KUNA JUKWAA LA MAPENZI KULE NADHANI NDIO UNGEPATA MAJIBU MENGI SAHIHI ZAIDI HUKU TUNACHAMBUA MATAMKO YA MAASKOFU WETU KWANZA NA HALI YA SIASA YA NCHI YETU KWA PAMOJA
 
Mwanamke alikupenda ndiyo maana alikuwa tayari kwa plan b ya kubadili dini...

Ila wewe hukumpenda ndiyo maana haukua tayari kwa plan b yoyote ya wewe kubadili dini...


Cc: mahondaw
hapana mkuu narudia tena kwamba nilimpenda sana, kikubwa na mimi.nilikuwa na malengo yangu kwamba nikishafika miaka kadhaa basi niwe na familia na kutokana na majibu niliyoyapata nilijua hakuna tena uwezekano wa mimi kumwoa yeye na ili kupunguza stress na kufikia lengo langu ikanibid tu nitafute mwanamke otherwise ningeteseka sana
 
Back
Top Bottom