Nakupenda. . .Asante!!

Nakupenda. . .Asante!!

Asa, kwa nini tuogope kusema nakupenda?
Nahisi wenye njaa na kiu ya game meat wamekuwa wengi.

Otherwise, sioni sababu!

mie penda wote wote ila wasiniletee bill. Bili ya bibi tu ndiyo ina nafasi!
 
Tena walikuwa wanasafiri kabisa

Kule kwetu walikuwa wanasafiri kwenda malishoni mbali, wanakaa hata miezi
Ila siku wakirudi, ile wanaondoka tu mzazi wa kike anaanza kula ndimu, jamani

Ndimu za nini tena Kongosho?

Mie nilidhani walikuwa wanaogea?

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Hivi hilo neno lina matatizo gani mtu akikwambia wakati kweli anakupenda kama dada/kaka au babu/bibi??

Kwa hiyo ni kosa nikisema, "nakupenda (I love you) mkubwa mwenzangu @FP"..???

Nahisi nimekwama mahali...lol!!

Babu DC!!

ahahahhahaahhahahha huyu mkolini wangu huyu ananikosesha mengi mie yailahi!
lol! BAK japokuwa wewe unaninyima updates za dada kubwa ,kamatia hiyo! Kaizer ahahahhahahhahah hatukukosa usingizi bure jana bana!
kitu KABAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAANG! Jiwe Linaloishi nilikwambia mapema uliza maswali ya msingi we ukawa unambwera mbwera tuuu!
haya sasa!
ebaana mwanafunzi wangu enh leo si hamna mpira ,jana uligelezea sana hebu njoo ufanye mek up assignment hakuna kazi hapa tena!itoke wapi sasa!
 
Last edited by a moderator:
nakupenda kwa mara ya kwanza kutamkwa na mtu, ni wazi kwamba inajibiwa kwa neno 'Asante'. kisha waweza kuongeza vijimaneno kama asante kwa upendo wako kwangu.namna hii humfanya mtu awe na atleast amani ya kupokelewa kwa moyo wa shukurani.

kwa mtu ambaye mmezoeana vile mwenza ama bf asemapo nakupenda ni wazi kwamba wewe unayeambiwa unatakiwa uwe na feelings juu ya upendo wake kwako kwa wakati huo. yaani atamkapo neno ama maneno haya yafungue mlango wako wa fahamu uone unapendwa na kuna mtu anakujali hivyo lazima umjibu 'nami pia nakupendwa mpenzi wangu' namna hii ya majibu huuisha mapenzi na furaha kati yenu.

gfsonwin nakupenda! You're so beautiful! How old are you by the way?
 
ahahahhahaahhahahha huyu mkolini wangu huyu ananikosesha mengi mie yailahi!
lol! BAK japokuwa wewe unaninyima updates za dada kubwa ,kamatia hiyo! Kaizer ahahahhahahhahah hatukukosa usingizi bure jana bana!
kitu KABAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAANG! Jiwe Linaloishi nilikwambia mapema uliza maswali ya msingi we ukawa unambwera mbwera tuuu!
haya sasa!
ebaana mwanafunzi wangu enh leo si hamna mpira ,jana uligelezea sana hebu njoo ufanye mek up assignment hakuna kazi hapa tena!itoke wapi sasa!

Haki ya nani ....bange ni mbaya sana....

Wewe ndiye umemwonjesha Kongosho?

Babu DC!!
 
Hahahahah lol! Dadaako na Teja umeshawahi kuwaona wakiwa pamoja!? Kama huwajui utadhani ni newlyweds ambao bado wako kwenye penzi moto moto 24/7 kumbe wanakata miaka 14 na ushee sasa!!!...halafu mie naogopa kunasana banaaaa!!! Kunasana nomaaaa...lol! Teja limeweka mtego kutokana na utamu wa nanihii anavyoufurahia lol!



ahahahhahaahhahahha huyu mkolini wangu huyu ananikosesha mengi mie yailahi!
lol! BAK japokuwa wewe unaninyima updates za dada kubwa ,kamatia hiyo! Kaizer ahahahhahahhahah hatukukosa usingizi bure jana bana!
kitu KABAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAANG! Jiwe Linaloishi nilikwambia mapema uliza maswali ya msingi we ukawa unambwera mbwera tuuu!
haya sasa!
ebaana mwanafunzi wangu enh leo si hamna mpira ,jana uligelezea sana hebu njoo ufanye mek up assignment hakuna kazi hapa tena!itoke wapi sasa!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom