Nakupenda. . .Asante!!

Nakupenda. . .Asante!!

Neno nakupenda limeshakuwa kama wimbo hata watoto wadogo nao wanalijua. upendo wa kweli hautegemei neno hili. upendo wa kweli unaonekana hata kwene mboni ya macho. ukiachilia mbali vitendo. its true dat is rude. ukinambia nakupenda mimihuwa napiga kimya.


Kweli kabisa,

Kuna dada tulikaribia kupeana talaka, kisa eti simwambii kuwa nampenda...

Babu DC!!
 
Hivi huwa napata kigugumizi kidogo kutoa jibu sahihi.

Mtu anakuambia 'nakupenda', unamjibu 'asante'

wengine huwa wanalalamika kuwa ni 'rude' kujibu asante. Sasa najiuliza jibu sahihi ni lipi?

Je, ni bora kujibu 'nakupenda pia' hata kama si kweli? Huwa naona sio fair kujibu nakupenda kama simaanishi hasa napoona anayesema ana vichembe vya ukweli hata kama ni .0001%

hivi jibu sahihi la nakupenda kama ww humpendi huyo mtu ni lipi? Ili usionekane rude.

(for King'asti only, daym, hivi inawezekana kubalehe wakati wa menopause?)


mwaka huu ni wako aseee!!!!!!!! effects za zombie zinakuandama connie!!!!!!!!! aksante ndiyo jibu sahihi , full stop.........mtu mwenyekujitambua hawezi kuzungumza asiyoyamaanisha.
 
wengi hawapendi asante ikiwa kavu si unajua kupenda kunatesa sana nadhani ukiongeza nyama kidogo kama asante kwa kunipenda au asante kwa kunipenda kaka/dada yangu, kaka/dada hapa inampa picha ya jinsi unavyompenda. Kama hataki kuelewa achana nae, huyu ni miongoni mwa wabishi wanaotaka kila lao liheshimiwe na kufuatwa.
ukiona kaka ,kaka kimbia kaka!
 
Mmh, I love you Babu DC(Mind you, sauti ni kavu kabisa na macho kodokodo)

Nasubiri majibu

Kweli Kaunga,

Hivi hili neno halina tofauti ukiambiwa mbele ya watu au kwenye faragha??

I will be more concerned kama ajamaa akitafuta upenyo na kunieleza kwenye privacy kwamba ohhhhhhh....Babu DC, I...I...Love you...soooo much....!!!

Ila mtu mnakutana sehemu au mko sehemu ya wazi anakwambia kwa sauti kavu kavu kama afande kwamba "I love you Bibi fulani"....nitaichukulia kama maneno mengine na kumjibu tu kwamba I love u too...kwa sababu naye ni binadamu....

Puppies wanaambiwa hivyo, iweje mtu?

Babu DC!!
 
hadi nitakapokuonesha mke wangu ndio utajua mie ni ke au me?
kama we wa kiume uje ulale kwangu leo,najitolea bikra yangu bure kwako usiku kucha .unanichanganya sana ujue hadi nakuogopa
 
hilo neno wengine tunalisikiaga kwa msimu, "msimu wa kuombwa radhi" mie sionagi kama linaongeza lolote mana linaweza likawa la "kusanifiana" pia.


ndiyo maana nikasema mahali kuwa wengine hilo na maneno mengine ya kuazima kama mfano I miss you, darling, bebi, honey...tulishamalizana nayo siku nyingi...

Siku hizi tunaitana majina yetu, na kama mtu ana lake jambo basi analembua sauti....mambo finito!!

Babu DC!!
 
Ha ha ha ha ha, umeona eeh

Bora kumjibu asante tu, tena hawa watu wana viranga

Hivi hatuwezi kutangana nao sayari?(Nimepata hasira ghafla)

hilo neno wengine tunalisikiaga kwa msimu, "msimu wa kuombwa radhi" mie sionagi kama linaongeza lolote mana linaweza likawa la "kusanifiana" pia.
 
kama we wa kiume uje ulale kwangu leo,najitolea bikra yangu bure kwako usiku kucha .unanichanganya sana ujue hadi nakuogopa


Mhhhhhhhhhhhhhhh,

Itabidi babu anunue miwani ambayo itamsaidia huko mbeleni kuruka baadhi ya post??

Ndo ulipofika hapo Smile?

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Hivi, Waafrika hatupendagi?
Au huwa tunazuga hatupendi kumbe ndani ya mioyo twaungua?


Tena wanapenda hadi wanakuwa kama vichaa au misukule....

Muulize Kongosho na zombie wake...

Unadhani wale wababu waliokuwa wanasafiri hadi 30km kutafuta nyama, samaki, kuku (mitetea yenye manyoya kama shanga shingoni), matenga ya matunda, mikaa n.k hawakuwa wanawapenda wake zao kweli??


Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom