Nakupenda. . .Asante!!

Nakupenda. . .Asante!!

Wakati mwingine asante ndio jibu linalokuja ambalo unahisi halitaleta complication za aina yeyote

Hasa kama ni mtu unayependa kuflirt, ni hatari sana

Du! mi nshakuwa rude mara kibao tu......
asante ndo jibu langu na hakuna kuongezea nyama wala nini..... naishia hapo na kama inawezekana nachapa lapa
 
Hata bf au mume kuna siku anapata asante tu

Wanamme wana viranga, anakuudhi makusudi afu anakuja na 'nakupenda' hamsini kidogo na mshedede kashikilia mbele kama 'award' ya nini sijui, unampiga na asante tu.

nakupenda kwa mara ya kwanza kutamkwa na mtu, ni wazi kwamba inajibiwa kwa neno 'Asante'. kisha waweza kuongeza vijimaneno kama asante kwa upendo wako kwangu.namna hii humfanya mtu awe na atleast amani ya kupokelewa kwa moyo wa shukurani.

kwa mtu ambaye mmezoeana vile mwenza ama bf asemapo nakupenda ni wazi kwamba wewe unayeambiwa unatakiwa uwe na feelings juu ya upendo wake kwako kwa wakati huo. yaani atamkapo neno ama maneno haya yafungue mlango wako wa fahamu uone unapendwa na kuna mtu anakujali hivyo lazima umjibu 'nami pia nakupendwa mpenzi wangu' namna hii ya majibu huuisha mapenzi na furaha kati yenu.
 
Hata bf au mume kuna siku anapata asante tu

Wanamme wana viranga, anakuudhi makusudi afu anakuja na 'nakupenda' hamsini kidogo na mshedede kashikilia mbele kama 'award' ya nini sijui, unampiga na asante tu.
hahahahahah! hivi wajua nini kinachorudisha amani ndani pale inapotoweka??
basi ni maneno haya samahani na nakupenda. na kwakua wanaume wengi hawapendi neno samahan basi hukimbilia neno nakupenda.
 
labda ninabidili neno, unakuwa humpendi vile atakavyo ya kibaba na mama.

Sasa hutaki kuonesha umedharau hisia zake ama hujali, simply unataka ajue hauko ukurasa mmoja na yeye.

Then it is easy, depending na jinsi gani unamuheshimu mtu na hutaki kuupoteza urafiki (kama upo); baada ya kushukuru/kuutambua upendo wake unamwambia kwamba you don't feel the same way au moyo wako ushampa mwingine au extend your left fingers in case hakuiona pete.

Mimi huwa sometimes najifanya kuichukulia kauli yake as utani so nachomekea utani back in a way that confidence yake inabaki intact.
 
nazid kummiss the old konnie
basi tu af bint Mtambuzi kanituma nimjibie swali.
 
Last edited by a moderator:
Kutokuwa na feelings za mapenzi ni tofauti na kumchukia mtu. If that was the case naona maadui tungekuwa nao wengi sana. Na ndio maana asante ni jibu sahihi.
ni kweli mtu kukupenda sio hatia pia so ni vizuri kuwashukuru watupendao hata kama hatuewezi kuwafeel!
 
Last edited by a moderator:
Hivi hii series ya Zombie vs Kongosho, tupo episode ya ngapi?

Du! mi nshakuwa rude mara kibao tu......
asante ndo jibu langu na hakuna kuongezea nyama wala nini..... naishia hapo na kama inawezekana nachapa lapa


Next time malizia basi....

Kama ni small boy....sema hivi..."ahsante sana my little brother..."

Naamini wataendelea kukuelewa tu!
 
Hata bf au mume kuna siku anapata asante tu

Wanamme wana viranga, anakuudhi makusudi afu anakuja na 'nakupenda' hamsini kidogo na mshedede kashikilia mbele kama 'award' ya nini sijui, unampiga na asante tu.
ahaaaa HIVI WEWE NI MWANAMKE ?
 
Hata bf au mume kuna siku anapata asante tu

Wanamme wana viranga, anakuudhi makusudi afu anakuja na 'nakupenda' hamsini kidogo na mshedede kashikilia mbele kama 'award' ya nini sijui, unampiga na asante tu.
ha haaa, hiyo imo mara nyingi tu mbona..........
kuna nakupenda nyingine zinakuja muda si wake....... kama ka-bribe fulani hivi...... hiyo ukiwa nafuu kidogo unaitwanga na asante, lakini ikikukuta mwezi mchanga unaitwanga na "Really!"
 
Next time malizia basi....

Kama ni small boy....sema hivi..."ahsante sana my little brother..."

Naamini wataendelea kukuelewa tu!
ha haaaa, wewe babu achana na small boy, lol!
tena huyo akija na I love you ndo ataiona my true colour, lol!
 
Hivi huwa napata kigugumizi kidogo kutoa jibu sahihi.

Mtu anakuambia 'nakupenda', unamjibu 'asante'

wengine huwa wanalalamika kuwa ni 'rude' kujibu asante. Sasa najiuliza jibu sahihi ni lipi?

Je, ni bora kujibu 'nakupenda pia' hata kama si kweli? Huwa naona sio fair kujibu nakupenda kama simaanishi hasa napoona anayesema ana vichembe vya ukweli hata kama ni .0001%

hivi jibu sahihi la nakupenda kama ww humpendi huyo mtu ni lipi? Ili usionekane rude.

(for King'asti only, daym, hivi inawezekana kubalehe wakati wa menopause?)

Nafikiri ni ulimbukeni tu.....wengi hawajui maana ya Kupenda na Kutamani...... unampa demu ofa kwa mara ya kwanza alafu wakati mnaagana anakuambia I love u.........
 
ni kweli mtu kukupenda sio hatia pia so ni vizuri kuwashukuru watupendao hata kama hatuewezi kuwafeel!

Hivi kwani mnakimbilia kwenye feelings zaidi au ni ulevi wa vile vitunda pori??

Babu DC!!
 
Ha ha ha ha, umeona eeh, tena 'really??' ndio kiboko yao

Ila kwa nini mwanamme akikuudhi 'award ya kimataifa' anayokuja nayo ni mwenge wake wa uhuru? Afu anaona kama kakupendelea, basi mie naudhika kama nini? Ila hii nitaitafutia siku ije na sred yake.

ha haaa, hiyo imo mara nyingi tu mbona..........
kuna nakupenda nyingine zinakuja muda si wake....... kama ka-bribe fulani hivi...... hiyo ukiwa nafuu kidogo unaitwanga na asante, lakini ikikukuta mwezi mchanga unaitwanga na "Really!"
 
Yaani 'nakupenda' inaanza kupoteza maana

Wengine kutamka hili neno kwa mtu mpya inakugharimu mazoezi ya miezi sita, kila ukimuona unafuta jasho tu

Nafikiri ni ulimbukeni tu.....wengi hawajui maana ya Kupenda na Kutamani...... unampa demu ofa kwa mara ya kwanza alafu wakati mnaagana anakuambia I love u.........
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom