Nakupenda. . .Asante!!

Nakupenda. . .Asante!!

What is your true colour!so wewe hata kama umeudhika vp hiyo ndio inakufanya walau uone jamaa anajali na siyo kuwa tena mbogo si unajua wanaume akijaribu kufanya hivyo akaona hueleweki anaenda zake kwa small house!ha ha ha inakubidi uwe mpole hata kama hujisikii hivyo
 
Duh, kwa hiyo niseme 'nakupenda pia'

Na hiki kiburi cha kimasai nikipeleke wapi?

What is your true colour!so wewe hata kama umeudhika vp hiyo ndio inakufanya walau uone jamaa anajali na siyo kuwa tena mbogo si unajua wanaume akijaribu kufanya hivyo akaona hueleweki anaenda zake kwa small house!ha ha ha inakubidi uwe mpole hata kama hujisikii hivyo
 
Wengi hawapendi Asante ikiwa kavu si unajua kupenda kunatesa sana nadhani ukiongeza nyama kidogo kama Asante kwa kunipenda au asante kwa kunipenda kaka/dada yangu, kaka/dada hapa inampa picha ya jinsi unavyompenda. Kama hataki kuelewa achana nae, huyu ni miongoni mwa wabishi wanaotaka kila lao liheshimiwe na kufuatwa.
 
Simu ni polonium ya mapenzi Ukiitafakari simu na maudhi yake unaachana na mtu ndani ya sekunde 2 Ila bora kuachia ngazi kuliko kukaa na mtu anayekuweka roho juu juu
Lakin nampenda ila sasa tatizo simwelewi elewi kabisa niko njia panda lakn pia niko tayari kwa lolote.
 
Mmh, unampotezea Mvaa tai kiupole, ungesema asante tu tukajionea response yake hapa aseme amejisikiaje kujibiwa asante

Mie mgomvi lakini?!

Hiyo inaitwa killing me softly!
Nakubaliana na sarikoki sentensi 'l love you' imepoteza maana hasa kwa waTZ ambao tuna neno moja tu 'nakupenda' likimaanisha both 'love' and 'like'.

Sikutegemea kama siku yangu itaharibika mapema namna hii, hivi Kaunga kwanini usiseme TU 'asante' alafu uniache niende zangu?
 
Last edited by a moderator:
My brother haisaidii

Kuna watu niliwaona wanaitana dada/kaka

wote wana familia na wenza wa ndoa, cha ajabu walipena mimba na mwanamke akafa wakati anatoa

Ilikuwa aibu ya mwaka

Hivi ukimwambia kuwa "I love you too my brother" ndiyo unakuwa umeuza match??

Hapa kweli mie sijaelewa haya maneno!!

Babu DC!!
 
Hivi ukimwambia kuwa "I love you too my brother" ndiyo unakuwa umeuza match??

Hapa kweli mie sijaelewa haya maneno!!

Babu DC!!

Liking somebody(wa jinsia tofauti) haihusishi intimacy passion and romance
Loving somebody(wa jinsia tofauti) intimacy, passion na romance vyahusika babu.

Lakini kama mjumbe mmoja alivyohint watu tumechakachua sana maana ya LOVE kiasi kwamba mtu akikuambia l LOVE you it is okay if you wont take it as a big deal kiasi kwamba inachanganya kutofautisha when one means it na when one says it as a means of making you get down your pants!
 
ha haaa, ijaribu siku moja.... inafaa sana, siku nyingine hakujii nayo, lol!
hiyo thread ifikirie basi tutaisubiri watujuze wao wenyewe...
sasa sijui wewe rafiki siku hiyo utakuwa upande gani? maana Smile haachi kukuuliza kama wewe ni ke kwa kila uzi, lol!
ni wa kike kweli huyu Kongosho?
 
Last edited by a moderator:
Hivi ukimwambia kuwa "I love you too my brother" ndiyo unakuwa umeuza match??

Hapa kweli mie sijaelewa haya maneno!!

Babu DC!!

Liking somebody(wa jinsia tofauti) haihusishi intimacy passion and romance
Loving somebody(wa jinsia tofauti) intimacy, passion na romance vyahusika babu.

Lakini kama mjumbe mmoja alivyohint watu tumechakachua sana maana ya LOVE kiasi kwamba mtu akikuambia l LOVE you it is okay if you wont take it as a big deal kiasi kwamba inachanganya kutofautisha when one means it na when one says it as a means of making you get down your pants!

Kwa mara ya kwanza na- regret kuingia MMU.
 
Kweli Kaunga,

Hivi hili neno halina tofauti ukiambiwa mbele ya watu au kwenye faragha??

I will be more concerned kama ajamaa akitafuta upenyo na kunieleza kwenye privacy kwamba ohhhhhhh....Babu DC, I...I...Love you...soooo much....!!!

Ila mtu mnakutana sehemu au mko sehemu ya wazi anakwambia kwa sauti kavu kavu kama afande kwamba "I love you Bibi fulani"....nitaichukulia kama maneno mengine na kumjibu tu kwamba I love u too...kwa sababu naye ni binadamu....

Puppies wanaambiwa hivyo, iweje mtu?

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Neno nakupenda limeshakuwa kama wimbo hata watoto wadogo nao wanalijua. upendo wa kweli hautegemei neno hili. upendo wa kweli unaonekana hata kwene mboni ya macho. ukiachilia mbali vitendo. its true dat is rude. ukinambia nakupenda mimihuwa napiga kimya.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom