Nakupenda. . .Asante!!

Nakupenda. . .Asante!!

Mbona mie nakupenda bure bure tu

Tena upendo kama wa bibi na si wa wajukuu :dizzy::behindsofa::dizzy:

Badala yake anakupendea nini?

Mbona mie nawapenda wajukuu zangu wote?

Ila bibi sijue yeye nisemeji...ngoja kwanza nijikumbushe misamiati..lol!!

Babu DC!!
 
haina shida kama unaniambia kama dada......
lakini kama umetanguliza you are just a small boy then unakuja na I love you kwa nini nisikutoe balu?


Safi sana,

Ndiyo maana wale wa 1947 tunajua kuwa bado contour lines hazijafutwa na tunaziheshimu....lol!!

Babu DC!!
 
Kwani unamjua zombie ni nani?

Siri yangu, stay tunes kwa next episode

Namtaja hapa hapa hadharani

Hivi ile dozi ya zombie haijaisha kweli? Au ndiyo mipangilio ya dating ya March 2013??

Naona hallucination zitakuua mwaka huu...lol!!

Babu DC!!
 
Mbona mie nakupenda bure bure tu

Tena upendo kama wa bibi na si wa wajukuu :dizzy::behindsofa::dizzy:

Wewe Kongosho wewe?

Unamtamfuta nini Babu wa watu??

Umesahau kuwa ticket ya bus/ndege ni ya mtu mmoja tu??

Jaribu kuongea na bibi uone kama rules zimebadilika...

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Tena inapoteza umaana kabisa

Afu baadhi ya wanamme bana, wako radhi waape upendo mkubwa kama kilimanjaro kwa ajili ya kufunua sketi tu, hapo hapo upendo kwishney


What else should they do??

Kwani simba akishakula anafanya kazi gani vile??

Babu DC!!
 
We babu naye

Unaomba ruhusa kutema mate?

Bibi hatajua kabisa, afu sie itakuwa kiongo ongo tu

Wewe Kongosho wewe?

Unamtamfuta nini Babu wa watu??

Umesahau kuwa ticket ya bus/ndege ni ya mtu mmoja tu??

Jaribu kuongea na bibi uone kama rules zimebadilika...

Babu DC!!
 
Kwani unamjua zombie ni nani?

Siri yangu, stay tunes kwa next episode

Namtaja hapa hapa hadharani

Ni lazima nimjue?

Umtaje au la ni mambo yako na zombie wako huyo....

Mie nahangaika na Bibi wa wajukuu zangu tu...

Babu DC!!
 
Kuna mbinu zingine za mafia ujue babu?

Simba kula nyama ni haki yake, lakini kwa mbinu zipi?


Kuna mmoja nilimwona anaapa mkewe mchawi, eti akidu na huyo mwanamke ndio anatengua ule uchawi wa mkewe, tena na machozi anatoa. Kumbe uongo hakuna lolote

Sasa huu si ni ugaidi wa mapenzi?

What else should they do??

Kwani simba akishakula anafanya kazi gani vile??

Babu DC!!
 
Okay, kumbe hamna lolote

Sasa ninatabasamu tu


Kwani ulitaka kuwepo na kitu gani tena wewe Kongosho,

Ni ni memba mwenzetu wa 1947 club...

Kama unataka membership na vigezo unavyo, basi sema tukupe admission.

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Kuna mbinu zingine za mafia ujue babu?

Simba kula nyama ni haki yake, lakini kwa mbinu zipi?


Kuna mmoja nilimwona anaapa mkewe mchawi, eti akidu na huyo mwanamke ndio anatengua ule uchawi wa mkewe, tena na machozi anatoa. Kumbe uongo hakuna lolote

Sasa huu si ni ugaidi wa mapenzi?

Sijui kwa sababu mie nilishatoka kitambo....

Nawasikiliza tu nyie wadau...

babu DC!!
 
Mie admission nnayo kabisa, basi tu huwa najiwehua sometimes ili kuendana na hiki kizazi

Si unajua mambo ya akina Bishanga, wazee wa mujini

Kwani ulitaka kuwepo na kitu gani tena wewe Kongosho,

Ni ni memba mwenzetu wa 1947 club...

Kama unataka membership na vigezo unavyo, basi sema tukupe admission.

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom