Babu umeniumiza moyoni
nyie mnasemaje hapa? mbona jina langu halikauki vidoleni kwenu?
Umeuteka moyo wa Babu Dark City kwa nini?
Kama nampenda nitamjibu Nakupenda pia, kama simpendi, ahsante ndo jibu muafaka, kama simpendi kabisaaa nampa makavu bhana mi Sikupendi
Ona haya maneno ndo utajua tunaongelea nini
What? Sredin? Bora ingekuwa PM FP na Dark City
heheh kaugomvi kako katamu lakini.
Naona dada mkubwa na sintofahamu zake while anachekelea.
Babu DC nae yumo kweli, eti akajidai nakupenda I love you . . . heheh alafu akaact ni comment!
Hata wewe?
Hahahahaha
hii nime mnukuu rafiki yangu alimwambia msichana tena ni mara ya kwanza kukutana nae akamwambia anampenda msichana akasema asante sana jamaa akasema alishindwa aendelee vipi maana alishindwa kumuelewa kwa hiyo nilivyo ona hii mada nikakumbuka!
Simply put, ....ni roho mbaya tu...
Halafu sasa wenyewe wakikutaka ukashindwa kustukia....wanalaani hadi ardhi inakaribia kumeguka vipande vipande...
Bahati nzuri, wanaume hawafanyagi roho mbaya...lol!!
Babu DC!!
Kweli Babu Dark City kwa wao wakimwambia mwanaume anampenda alaf mwanaume aseme asante kwa kweli wanachukulia ni ukatili tena huwa wanatamani ardhi hipasuke
you are so rude!
Ila nimecheka sana
Hivi huwa napata kigugumizi kidogo kutoa jibu sahihi.
Mtu anakuambia 'nakupenda', unamjibu 'asante'
wengine huwa wanalalamika kuwa ni 'rude' kujibu asante. Sasa najiuliza jibu sahihi ni lipi?
Je, ni bora kujibu 'nakupenda pia' hata kama si kweli? Huwa naona sio fair kujibu nakupenda kama simaanishi hasa napoona anayesema ana vichembe vya ukweli hata kama ni .0001%
hivi jibu sahihi la nakupenda kama ww humpendi huyo mtu ni lipi? Ili usionekane rude.
(for King'asti only, daym, hivi inawezekana kubalehe wakati wa menopause?)
Ndo walivyo hawa wadau wetu,
Naona wametimkia kwenye kugombelezea....DaSophy kawatibu kweli kweli...
Babu DC!!
Unataka kunidip na nini? Beep tu inatosha kabisa
konnie unataka niapply yaloe maujuzi ya kwa Da Sophy hapa au!
konnie unataka niapply yaloe maujuzi ya kwa Da Sophy hapa au!
tatizo ulichemsha kwenye mbinu tumbukizi!dadangu kaja kafunga goli kilaiiini babu siku hizi yupo tu!
ah!
aahhahahha
Mjukuu DC imagine mpka ananiruhusu nitumie hii sahihi!kweli dadangu mimi chiboko!
ahahahhahhha da sophy amtibu nani babu!Ndo walivyo hawa wadau wetu,
Naona wametimkia kwenye kugombelezea....DaSophy kawatibu kweli kweli...
Babu DC!!