REALITY
JF-Expert Member
- Jul 2, 2014
- 4,391
- 1,961
Najua yote Hiyo unataka akunong'oneze kua anakupenda a.k.a love you!
La mkosaji: kwi kwi kwi kwi kwi
we kichwa maji kwasababu mi nishajilia kabla
la msemaji:kwe kwe kwe kwe
Najua yote Hiyo unataka akunong'oneze kua anakupenda a.k.a love you!
La mkosaji: kwi kwi kwi kwi kwi
Hahahahaaaaa Mkuu kiwatengu mambo Mkuu?
Habari za masiku Mkuu?
Duh!!! Mkuu tafadhali sn Nakuomba badae pitia ofisini kwangu pale mitaa ya Samora uchukue bahasha Fulani uwapelekee watoto zawadi! Maana umetokeza huku na CAMERA YAKO YA UDUKUZI USIJE UKATUTOA KWENYE GAZETI LAKO LA UDAKU NEXT EDITION TENA FRONT PAGE! please fanya hivyo so iwe imekufa!
hata simtaki mie sitaki shida zaka wewe ndiyo unaziweza mke mwenza loh
we kichwa maji kwasababu mi nishajilia kabla
la msemaji:kwe kwe kwe kwe
we kichwa maji kwasababu mi nishajilia kabla
la msemaji:kwe kwe kwe kwe
Ayayaya.....umesema...??
we kichwa maji kwasababu mi nishajilia kabla
la msemaji:kwe kwe kwe kwe
Na Bado mtachonga sn!
Ma-vi ya kale hayanuki: kwi kwi kwi kwi
Na Bado mtachonga sn!
Ma-vi ya kale hayanuki: kwi kwi kwi kwi
Honey achana nae katumwa huyo....kwani watu wale we huwajuagi?
ha ha ha....mkuu wasukuma ni ndugu zangu sana.
nimefanya kazi Pale Kishapu takribani miezi 8...
ha ha ha kamera sijabeba mkuu...
ndo maana nzi hawayafati
Cc: Honey Faith miss neddy. Khantwe Ntuzu.....pole kaka yangu.... muuza ubuyu sezae nakutakia siku njema
Mkuu kiwatengu pamoja sn Mkuu!
Wapi Tized Mkuu? Tumu Bado haijakamilika! Maana ata binti mtukutu miss chagga anashindwa kutimua vumbu sn! Lkn soon tutakua nao Hawa wapendwa wetu!
Tized Mr Rocky nawapenda sn wakuu!

acha kujipendekeza
Honey achana nae katumwa huyo....kwani watu wale we huwajuagi?
Waweja sana Baba!!! Asante sana ndugu yangu.
Nakushukuru Mkuu Ntuzu, Niko salama sana, Hofu kwako Bro.
Msalimu sana Mkuu kiwatengu na mchumba anayekuchomoka kila siku miss chagga
Mkuu Tized nashukuru sn Mkuu kwa uwepo wako!
Mi niko Pouwa Mkuu! Nafikiri Muda so mrefu tutakamilika tena!
miss chagga Hana nyimbo mpya tena mbele ya Khantwe
Pamoja sn Mkuu!