Umekua sasa na wewe Mdogo wetu!
Unachimba mkwara mpk Mke Wa kaka yako?
Yaani tabu kweli jamaa yangu Ntuzu, hamo olishiwe JIGONA! Jamaa anashinda ndani tu kama 'jigona' na ukimwambia juu ya mke wake unakiona cha moto, dah!!
Nami nimewamisi sana dada zangu mwallu na miss neddy, ng'ojimelelilehe igete?
Mke wangu hachepuki alikua anapiga story tu!
Mbona wewe Yule mura aligawa mauwa Mekundu na akatangaza mabinti wampe no za M-PESA zao awajazie fwedha mbona sikusema Shemeji anachepuka!?
Yaani tabu kweli jamaa yangu Ntuzu, hamo olishiwe JIGONA! Jamaa anashinda ndani tu kama 'jigona' na ukimwambia juu ya mke wake unakiona cha moto, dah!!
Nami nimewamisi sana dada zangu mwallu na miss neddy, ng'ojimelelilehe igete?
Mmeanza....my luv Ntuzu njoo nifafanulie
Wifi yako mwallu anamuuliza muuza ubuyu mbona umepotea hivyo!
Hawawezi kupitisha maneno lazima nikwambie Maana Hawa ndugu wamekua Wa ajabu sn!
Labda waongee ki- miss chagga Kabila ya mumewe mwallu
hahahaha umeona tumekula hasara lol
molamola modoho...
hahahaha afu nishampa talaka yake ujue
Wifi yako mwallu anamuuliza muuza ubuyu mbona umepotea hivyo!
Hawawezi kupitisha maneno lazima nikwambie Maana Hawa ndugu wamekua Wa ajabu sn!
Labda waongee ki- miss chagga Kabila ya mumewe mwallu
Ila wewe dada Yangu miss neddy ????!!!!!
Unakumbuka wewe huyo Ndio uliniambia mimi niwe na wifi yako? Mbona unabadilika?
Hahahahaaaaa Mkuu kiwatengu mambo Mkuu?
Habari za masiku Mkuu?
Duh!!! Mkuu tafadhali sn Nakuomba badae pitia ofisini kwangu pale mitaa ya Samora uchukue bahasha Fulani uwapelekee watoto zawadi! Maana umetokeza huku na CAMERA YAKO YA UDUKUZI USIJE UKATUTOA KWENYE GAZETI LAKO LA UDAKU NEXT EDITION TENA FRONT PAGE! please fanya hivyo so iwe imekufa!
Yaani tabu kweli jamaa yangu Ntuzu, hamo olishiwe JIGONA! Jamaa anashinda ndani tu kama 'jigona' na ukimwambia juu ya mke wake unakiona cha moto, dah!!
Nami nimewamisi sana dada zangu mwallu na miss neddy, ng'ojimelelilehe igete?
Hutaki huku karoho kanakuuma.....pole mkemwenza