Nilianzia kwa wazazi wangu... Then watu wengi tu, love all but trust a fewHivi unakumbuka ni mara ngapi umeshawahi kulitamka hilo neno kwenye maisha yako kwenye suala la mapenzi?
Je unamkumbuka wa kwanza uliyemuambia hivyo?
Yupo wapi sasa?
Damn .......
Nikimkumbuka wa kwanza kumuambia hivyo leo ni muke ya mutu na ana watoto .....
Halafu nimeshawahi kulisema kama maraaaaaaaa ......mmmhhhhhhh........ngoja niendelee kukumbuka
Kama mara 6 hivi ........
Wewew je?
Achana na zile za uongo,nataka za ukweli!
Kaka kwani nilisema we some hapo?Bora liwe limbwata Maana nisipompenda wifi yenu inakua tabu nikimpenda inakua limbwata!
Siku zako kwa kaka zinahesabikaShangaa na wewe Swty! Hawajui km tumetoka mbali mi na wewe!
Hahahahah.....my husband Ntuzu unanikoshaga hapo tu....unawapatia haswaaa hawa dada zako. Nashukuru kwa msimamo wako honey vinginevyo ndoa yetu ingeshaota mbawa...
Yani bora ya wifi yako Honey Faith Hana matatizo!
Lkn Hawa wawili mwallu na miss neddy ni shida eti wasikuone unapiga story na mtu tena za kawaida na huyo mtu Mwenyewe km Mentor Ndio anaanzisha story Kwao inakua shida km wamekuoa wao! Lols!!!!!
Mkeo anakudanganya......baadae takuletea idadi ya anaochepuka naoYani bora ya wifi yako Honey Faith Hana matatizo!
Lkn Hawa wawili mwallu na miss neddy ni shida eti wasikuone unapiga story na mtu tena za kawaida na huyo mtu Mwenyewe km Mentor Ndio anaanzisha story Kwao inakua shida km wamekuoa wao! Lols!!!!!
Kaka kwani nilisema we some hapo?
Siku zako kwa kaka zinahesabika
Mkeo anakudanganya......baadae takuletea idadi ya anaochepuka nao
Halafu wewe.....ngojea tu
Mchawi wako kaka amekufaSisikiiii mnamsingizia!
Mchawi wako kaka amekufa
Bora niwe nimerogwa kulikoni Nyie mnamsingizia UONGO MKE WANGU KWAMBA ANACHEPUKA NA WAKATI NI UONGO!
Ayaaaaaa
Anakudanganya ........usije sema hatukukuonya
Mkeo anakudanganya......baadae takuletea idadi ya anaochepuka nao
Halafu wewe.....ngojea tu
Mchawi wako kaka amekufa
Bora! Na Mimi siku nikimuona Mwenyewe siwambii kabisa! Ntakaa kimya! Km kujuta ntajuta Mwenyewe!
Na haitotokea my ngosha....kwako napata kila kitu Mungu anipe nini mimi?
Au limbwata....simwelewi kaka yetu
Yaani tabu kweli jamaa yangu Ntuzu, hamo olishiwe JIGONA! Jamaa anashinda ndani tu kama 'jigona' na ukimwambia juu ya mke wake unakiona cha moto, dah!!muuza ubuyu hatekwi kirahisi na mwanamke
Ntuzu mke achepuke na kutetewa atetewe ama kweli mapenzi upofu
Nami nimewamisi sana dada zangu mwallu na miss neddy, ng'ojimelelilehe igete?Ndo ashageuka tayari.....nammiss kaka muuza ubuyu Aisee....akijaribu na kwako tutaenda kumtoa kwa kaka sisi wenyewe
Yaani tabu kweli jamaa yangu Ntuzu, hamo olishiwe JIGONA! Jamaa anashinda ndani tu kama 'jigona' na ukimwambia juu ya mke wake unakiona cha moto, dah!!
Nami nimewamisi sana dada zangu mwallu na miss neddy, ng'ojimelelilehe igete?