sawima
JF-Expert Member
- Jul 9, 2019
- 5,206
- 8,041
Uende na pesa ya kutosha kama wewe ni mpenda stareheWenyeji wa Dodoma leo nakuja huko kwenu, naomba mnipe A B C za huko, Kama vile nifikie wapi, nikashangae wapi maana si ndo makao makuu ya Tanzania lazima kutakuwa na vitu vya tofauti.
Ahsante
Sent using Jamii Forums mobile app
Umepata mwenyeji wa kukutembeza ndg. mjumbe? Niko available kuwa city/tour guide wako.
Hata sahara mvua inanyesha
Umepata mwenyeji wa kukutembeza ndg. mjumbe? Niko available kuwa city/tour guide wako.
Uende na pesa ya kutosha kama wewe ni mpenda starehe
Mi ndio king wa dodoma Njoo PM tuyajenge kwanzaPesa ipo ndo maana nimekuja kuitumia , ila mie sio mtu wa starehe sana, nimekuja tu kupumzika for 3 days
Sent using Jamii Forums mobile app
Pumzika mkuu! PM yangu iko wazi napokea ratiba yako ya kesho ili niweke arrangement kwa ajili ya kesho!
Pumzika mkuu! PM yangu iko wazi napokea ratiba yako ya kesho ili niweke arrangement kwa ajili ya kesho!
Punguza uoga we njoo bhana PM mara moja yaani uko dodoma alafu hutaki kukutana na Zero IQ
Nakushukuru madame!