Na yule mchumba wako alishakupora mwita25.
Ushofika ama bado..
Safari njema!wakuu,niko ktk dar express ndege ya ardhini narudi zangu arusha!dada yangu anaendelea vizuri,though my old daddy hali yake ni tiamaji tiamaji!cant wait to see my family again!
Safari njema!
Utatukuta stand na Black Woman.
ok!ok!huyo black woman ni mweupe?