nakuja dar wenyeji mpooo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

nakuja dar wenyeji mpooo?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Mc Tilly Chizenga, Mar 26, 2012.

 1. Mc Tilly Chizenga

  Mc Tilly Chizenga JF-Expert Member

  #1
  Mar 26, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 3,694
  Likes Received: 804
  Trophy Points: 280
  wakuu,niko njiani nakuja Dar toka my home town Arusha,though nakuja kuwaona baba na dada yangu ambao wanaumwa lakini nitapenda pia kukutana na wana jf especially "wakazi" wa MMU!asanteni  UPDATES
  Yule mgonjwa wangu mmoja Baba yangu amefariki dunia usiku wa kuamkia leo tar 22 April 2012!msiba upo kinondoni muslim mle ndani,mwili utasafirishwa kesho alfajiri kwenda Tanga,Handeni kijijini Kwabaya kwa ajili ya mapumziko ya milele!
   
 2. Mc Tilly Chizenga

  Mc Tilly Chizenga JF-Expert Member

  #2
  Mar 26, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 3,694
  Likes Received: 804
  Trophy Points: 280
  nitafurahi kukutana na babu dc na babu odm,nataka kuona nani mzee zaidi,kichwani naamini babu dc amekula chumvi magunia mengi zaidi!
   
 3. Mc Tilly Chizenga

  Mc Tilly Chizenga JF-Expert Member

  #3
  Mar 26, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 3,694
  Likes Received: 804
  Trophy Points: 280
  nitapenda kukutana na Rejao na Ta muganyizi!nimenunua tape measure nataka nije kuwapima nani mwenye pua ndefu zaidi
   
 4. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #4
  Mar 26, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Tupo mzee, karibu sana! Arumeru, vipi? Isije kuwa unakimbia uchaguzi na kusingizia kuona wagonjwa! :redface:
   
 5. Mc Tilly Chizenga

  Mc Tilly Chizenga JF-Expert Member

  #5
  Mar 26, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 3,694
  Likes Received: 804
  Trophy Points: 280
  Kongosho kama utapenda tukutane appointment yetu itakuwa kituo chochote cha polisi kwa ajili ya usalama wangu!hautabiriki wewe!lol!
   
 6. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #6
  Mar 26, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,182
  Likes Received: 563
  Trophy Points: 280
  Umehakikisha kuwa umelipa kodi ya nyumba maana ile notice inaisha mwezi huu wa tatu
   
 7. N

  Nsuri JF-Expert Member

  #7
  Mar 26, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 996
  Likes Received: 183
  Trophy Points: 60
  Nani alikuambia hao wote unaotaka kuwaona wako dar??inawezekana wako hata nje ya nchi...Sasa kwanini usisubiri mpaka upige kura jumapili???
   
 8. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #8
  Mar 26, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Unakuja na usafiri gani? Kama unakuja na ndege nitakuja airport tuonane.
   
 9. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #9
  Mar 26, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,958
  Likes Received: 23,634
  Trophy Points: 280
  Wakati nikiwa fomu six Old Moshi mwaka 1964, DC alikuwa Minaki sekandari fom foo. Nadhani ushajua nani mkubwa.

  Karibu sana Boko Basihaya kaunta ya juu
  Mhudumu anaitwa Joyce nitakuzawadia.
   
 10. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #10
  Mar 26, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Karibbu sana nakuandalia kigoli wa kukupa kampani hapa na pale
   
 11. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #11
  Mar 26, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Hahahaha!
   
 12. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #12
  Mar 26, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Afu wewe kuna kitu umenidanganya niko kwenye hatua za mwisho kuhakikisha huo udanganyifu.., ole wako nikukamate..
   
 13. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #13
  Mar 26, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,869
  Likes Received: 6,220
  Trophy Points: 280
  tumehama!
   
 14. Mc Tilly Chizenga

  Mc Tilly Chizenga JF-Expert Member

  #14
  Mar 26, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 3,694
  Likes Received: 804
  Trophy Points: 280
  mmehamia wapi?mabwepande?kama ni huko sigusi kuna sifa mbaya!
   
 15. Mc Tilly Chizenga

  Mc Tilly Chizenga JF-Expert Member

  #15
  Mar 26, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 3,694
  Likes Received: 804
  Trophy Points: 280
  Boflo,nakuja na zawadi yako...nimekununulia Cd ya Baikoko!lakini nitamtafuta Yahoo akuletee!teh!teh!teh
   
 16. Mc Tilly Chizenga

  Mc Tilly Chizenga JF-Expert Member

  #16
  Mar 26, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 3,694
  Likes Received: 804
  Trophy Points: 280
  husna acha kunidhalilisha bana!mi nipande ndege zenu mikweche?mi niko na Dar Express ndege ya ardhini!umekimbia mpwapwa?
   
 17. Mc Tilly Chizenga

  Mc Tilly Chizenga JF-Expert Member

  #17
  Mar 26, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 3,694
  Likes Received: 804
  Trophy Points: 280
  teh!teh!teh!Kimbweka we kiboko!anyway hamna shida ila huyo kigoli aje na boyfriend wake!
   
 18. Mc Tilly Chizenga

  Mc Tilly Chizenga JF-Expert Member

  #18
  Mar 26, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 3,694
  Likes Received: 804
  Trophy Points: 280
  kodi zote,ya nyumba na ya ofisi nishalipa mkuu!haina shida mkuu!
   
 19. Mc Tilly Chizenga

  Mc Tilly Chizenga JF-Expert Member

  #19
  Mar 26, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 3,694
  Likes Received: 804
  Trophy Points: 280
  nasikiaga stori zao wapo dar!kama nimekosea yeyote nitakayeonana nae poa tu!nitarudi ijumaa au alhamisi!btw mi ni wa arusha mjini sio arumeru!ila 2015 nadhani nitahamia arumeru kuna ka plot kangu huko
   
 20. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #20
  Mar 26, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,182
  Likes Received: 563
  Trophy Points: 280
  Mbona mwenye nyumba amewasilisha madai mapya aise anakudai mahari ya mtoto wake ambaye uliahidi utamuoa
   
Loading...