Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,228
- 13,450
Ngoja nimtafute SL tukanunue ua la ukaribisho
Wakati nikiwa fomu six Old Moshi mwaka 1964, DC alikuwa Minaki sekandari fom foo. Nadhani ushajua nani mkubwa.
Karibu sana Boko Basihaya kaunta ya juu
Mhudumu anaitwa Joyce nitakuzawadia.
Ngoja nimtafute SL tukanunue ua la ukaribisho
mmehamia wapi?mabwepande?kama ni huko sigusi kuna sifa mbaya!
aisee!
Vipi tena
Karibu bana...mi naishi hapa kwa mfuga mbwa!!!nitapenda kukutana na Rejao na Ta muganyizi!nimenunua tape measure nataka nije kuwapima nani mwenye pua ndefu zaidi
Karibu bana...mi naishi hapa kwa mfuga mbwa!!!
Free consultation! Nakupa.
Ufikapo Dar, hao wenyeji wa Pwani tunda lao common ni Madafu, sasa be care ! Ukiyamanga sana hayo side effect yake siku zijazo Jeans zako zote Tupa kulee !
Hutozivaa !
Ushan'fahamu ?
Wifi mgeni mwenyewe anaonekana hataki kukaribishwa..,..Ngoja nimtafute SL tukanunue ua la ukaribisho
Ushapata mwenyeji?ok mkuu!nitakula kwa kiasi mkuu!hata arusha nakulaga kwa kiasi pale maeneo ya metropole!
tumehamia gairo, usiogope kuja
Ushapata mwenyeji?
Wifi mgeni mwenyewe anaonekana hataki kukaribishwa..,..