nakuja dar wenyeji mpooo?

teh!teh!teh!Rejao noma!mi mwenyewe namkubali jinsi anavyowatoa watu mapovu!eti nasikia ni dereva STK ni kweli?ajitahidi apande cheo awe mbeba mifuko ya rambo wa baba mwanaasha atapanda pipa mpaka acheue nanyi mtakula per diem mpaka mpasuke!

Hahaha hahahha,
Kwa anavowachefua watasema mengi lol!
Hayo ni maneno tu ya watu hata kwenye keki yapo na nayaliwa tu,source; kongosho

Mme wangu siasa iko damuni tena ya chama tawala na anaipenda km wengine walivo na mapenzi kwa vyama vyao,
Ila hataegemei padiem wala mshahara kutoka kwa baba mwaasha,
Yule tayari ni papa tajiri siku mingi sana,anachofanya ni kuonesha mapenz kwa chama anachokipenda basiii!
 
mgonjwa wangu wa kwanza ambaye ni dada yuko muhimbili!ndio niko hapa,taratibu zinafanyika kumuhamisha now kwenda Moi ili afanyiwe operesheni!ni mguu tu eneo la paja unauma kiajabu!maombi yenu muhimu!
 
kesho asubui nitaenda Boko Basihaya kumuona mgonjwa wangu wa pili ambaye ni baba yangu mzazi!he was born 1933,ever suffered stroke,na uzee na magonjwa yanayoendana na uzee basi tabutupu!eh!nimekumbuka humu ndani kuna member anaitwa TABUTUPU!
 
wakuu!dada kahamishwa,uko alipohamishiwa si kakosa kitanda!dah!habari hiyo usiombee ikukute!imebidi tuzame mfukoni anahamishwa private ward!naumia kwa vile najua si kila mtz atamudu option hii!na sasa stories za India zimeanza!anaweza pelekwa india for surgery!eti ni complicated surgery!
 
Pole swahiba, mungu ni mwema ataenda kumponya dada yetu..
 
kesho asubui nitaenda Boko Basihaya kumuona mgonjwa wangu wa pili ambaye ni baba yangu mzazi!he was born 1933,ever suffered stroke,na uzee na magonjwa yanayoendana na uzee basi tabutupu!eh!nimekumbuka humu ndani kuna member anaitwa TABUTUPU!
Hahaha! Pole kwa kuuguliwa na baba., .
 
tumeshakamilisha taratibu za kumuhamisha hapa MOI private ward!ngoja sasa turudi mtaani!wapenzi wa mpira wa chelsea maeneo ya sinza mpira mnaangalia wapi nije niwape kampani kidogo nijiliwaze!maana wagonjwa wawili serious at a time ni noma!
 
Ina mana toka jana bado hujapata mwenyeji yeyote wa jf?
 
kesho asubui nitaenda Boko Basihaya kumuona mgonjwa wangu wa pili ambaye ni baba yangu mzazi!he was born 1933,ever suffered stroke,na uzee na magonjwa yanayoendana na uzee basi tabutupu!eh!nimekumbuka humu ndani kuna member anaitwa TABUTUPU!
Ukifika Boko Basihaya, maeneo ya nyumbani kwa ODM tafazali nibipu nikupe pole kwa vibia kazaa. Ulizia baa yaitwa Etiennes almaaruf Baa Mpya. PM mimi kwa contacts.

Karibu na pole kwa kuuguza.
 
Ungepata memba akakupa kampani ingekuwa nzuri zaidi...

dah kweli memba wa dar wapo busy ingekuwa arusha ushapokelewa toka majuzi ulivyofika..

arusha sisi noma,day 1 ungeshapelekwa machame luxury kula firigisi,day 2 rexona ugali mnafu,day 3 cleopatra kupata supu ya kichwa cha mbuzi,mchana tungeshakupeleka ken garden ukajichagulie mwenyewe,siku ya kuondoka ugali kuku choma kwa maresi,ukijifanya jeuri sana tunaenda kukuripua mrina ujibebee zawadi ya kupeleka utokako!lol
 
Kweli Mc T, arusha tuko vizuri kwenye suala la kupokea wageni...
 
Ungepata memba akakupa kampani ingekuwa nzuri zaidi...

dah kweli memba wa dar wapo busy ingekuwa arusha ushapokelewa toka majuzi ulivyofika..

arusha sisi noma,day 1 ungeshapelekwa machame luxury kula firigisi,day 2 rexona ugali mnafu,day 3 cleopatra kupata supu ya kichwa cha mbuzi,mchana tungeshakupeleka ken garden ukajichagulie mwenyewe,siku ya kuondoka ugali kuku choma kwa maresi,ukijifanya jeuri sana tunaenda kukuripua mrina ujibebee zawadi ya kupeleka utokako!lol
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom