DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,291
- 29,485
Naomba nisaidie mimi
Naomba nisaidie mimi
Sawa Dada yangu, Ahsante
Dooh,kumbe ushawahiwa jamani, hongera zake kwa huyo mrembo aliyeniovertake and all the best in your new married life.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dada yangu nakusalimu...Haya kulikoni nidadavulie japo kiduchu
Aisee
Acha uchoyo nisaidie
Nilikuambia unitafutie..
Mwanaume tafuta mwenyewe. Mi labda unipe pesa nikutafutie..nipe laki mbili naenda shivaz kukuvutia kifaa nampa 20 iliyobaki ya kwangu.Nilikuambia unitafutie..
Hahaahah haya bana..Mwanaume tafuta mwenyewe. Mi labda unipe pesa nikutafutie..nipe laki mbili naenda shivaz kukuvutia kifaa nampa 20 iliyobaki ya kwangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Imefanyaje dear..
Jamaa ni shoga, ana shogoka wazi wazi kwenye EmpireImefanyaje dear..
Nalijua hilo mkuu.. napenda sauti yake akiimba..he's HB too
Asante nami nakusalimu pia mdogo wanguDada yangu nakusalimu...
Mimi mzima wa afya hofu kwako..Asante nami nakusalimu pia mdogo wangu