financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,144
- 40,722
Dooh,kumbe ushawahiwa jamani, hongera zake kwa huyo mrembo aliyeniovertake and all the best in your new married life.Nakiri kabisa mwaka uliopita nilifanya uamuzi wa kuoa baada ya kudumu katika mahusiano kwa muda wa miaka 3.
Sent using Jamii Forums mobile app