Nakiri: True Confessions

moyafricatz

JF-Expert Member
Nov 27, 2015
2,900
4,865
Wanajamvi, Heri ya mwaka 2020.

Bila kupoteza muda, huu uzi ni maalumu kwa kutoa yako ya moyoni (kukiri) ama kwa kimombo (confessions) ya yote yaliyotokea mwaka 2019 na miaka ya nyuma yake ambayo yalikutokea ama uliyafanya ambayo ungependa wanajamvi tuyajue.

Kwa kuanza, mimi NAKIRI kwamba najutia sana kuchepuka na huyu mwanamke (jina linahifadhiwa) kwa mwaka uliopita, maana amenipa wakati mgumu sana sababu aliniambukiza gonorrhea na imechukua muda sana kujitibu mpaka kupona.

Share nasi true confession yako kwa kuanza na neno NAKIRI.

Karibuni sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
moyafricatz,

Mkuu wewe mzembe Iseee. Kuugua gonorrhea sio issue ila tatizo linakuja kwann umechelewa kujitibu mzee au ndo ulikuwa unajificha ndani kuogopa aibu? huo ugonjwa ukiuwahi ndani ya siku 3 umeshapona mzee labda upate dose ya kizembe ninauzoefu na huo ugonjwa coz kuna mwanamke alinipatiaga na sijawahi kumwambia na nilisitisha mahusiano naye nilipogundua nimeukwaa!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom