Nakiri: True Confessions

Tafuteni tiba
August 2019 nilimpata bf aliyeniambukiza genital herpes,,sijaweza kumsamehe.
Kila nipatapo outbreak najisikia embarrassed sana.,
Ningeweza kumshitaki,ningefanya hivyo.,maana alikuwa aware na hayo maambukizi,akaniambukiza kimakusudi,ama alioma ugumu kuniambia.Inauma sana.
Nahisi nimeshamwambukiza my current boyfriend(sikuwa ninajua kuwa nimeambukizwa)la yeye haonyeshi dalili,
Inaniudhi sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umekosea mkuu, ungemwambia ili nae akajitibie, pengine yeye alikuwa hajui kama anaumwa jamani,

moyafricatz,

Mkuu wewe mzembe Iseee. Kuugua gonorrhea sio issue ila tatizo linakuja kwann umechelewa kujitibu mzee au ndo ulikuwa unajificha ndani kuogopa aibu? huo ugonjwa ukiuwahi ndani ya siku 3 umeshapona mzee labda upate dose ya kizembe ninauzoefu na huo ugonjwa coz kuna mwanamke alinipatiaga na sijawahi kumwambia na nilisitisha mahusiano naye nilipogundua nimeukwaa!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom