Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 42,813
- 95,724
Unapenda maHB?Nalijua hilo mkuu.. napenda sauti yake akiimba..he's HB too
Sent using Jamii Forums mobile app
Unapenda maHB?Nalijua hilo mkuu.. napenda sauti yake akiimba..he's HB too
Yoyote nitakayeona ana muonekano mzuri ili akae as avatar.. literally napenda watu wapole.
Ahsante sana mkuu, kesho naazimisha miezi 2 ya Ndoa yangu.
Mke yupo njiani kutoka mkoani kuja home leo hii, Ndoa ni raha kama bado karibu sana chamani
OkayyYoyote nitakayeona ana muonekano mzuri ili akae as avatar.. literally napenda watu wapole.
avatar zangu zote wapo hvo
Ukaoa kimya kimya.. Bila kushirikisha kamati ya popoz..
JF Watchers
Kutumia nini madame? ?
Pouwaa
Kwakweli sijaelewa...
Ahsante sana mkuu, bilà shaka wameyaona haya maneno kilichobaki ni maamuzi yaoHongera sana Mungu awajalie furaha na upendo mlionao sasa usipungue hadi mwisho . Wahamasishe Vijana wenzako wanaoogopa ndoa kwa maneno ya kusikia
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji2] ndiyo ushafungulia hivyoNakiri mwaka 2019 niliacha kunywa bia,Leo najipongeza na vibia 3 tu.
Haya tu rahel
Usijali mdogo wangu dunia ilinibana tuMimi mzima wa afya hofu kwako..
Tulitupana sana mwaka jana, bila shaka mwaka huu hatutatupana Dada yangu
SawaUsijali mdogo wangu dunia ilinibana tu
Ahsantee, hapana sijaovertake bado, au nimpindue huyo mrembo wako, nikae mimi kama mrs Mwifwa[emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
eti amekuovertake.......
Ahsante sana, kila la kheri na wewe pia katika kuovertake(japo sina hakika kama kweli bado hujaovertake)
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ahsantee, hapana sijaovertake bado, au nimpindue huyo mrembo wako, nikae mimi kama mrs Mwifwa[emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera sana mkuunakiri 2019 kuwagegeda mademu 45 tu,wakiwemo wachuo,wasekondari,wp,mabaka mabaka,kwa mwaka huu 2020 nakiri nitaongeza idadi iwe kubwa zaidi