Nakiri: True Confessions

mkuu ww mzembe Iseee... kuugua gonorrhea sio issue ila tatizo linakuja kwann umechelewa kujitibu mzee au ndo ulikuwa unajificha ndani kuogopa aibu? huo ugonjwa ukiuwahi ndani ya siku 3 umeshapona mzee labda upate dose ya kizembe ninauzoefu na huo ugonjwa coz kuna mwanamke alinipatiaga na sijawahi kumwambia na nilisitisha mahusiano naye nilipogundua nimeukwaa!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi pia Nilipata huu ugonjwa baada ya kumpima HIV alikuwa negative nikapiga Peku. Uzuri wa Gonorrhoea ni unapona haraka kwa single dosage.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi pia Nilipata huu ugonjwa baada ya kumpima HIV alikuwa negative nikapiga Peku. Uzuri wa Gonorrhoea ni unapona haraka kwa single dosage.

Sent using Jamii Forums mobile app
kabisa mkuu nakumbuka doctor aliniandikia dawa moja hivi ziko 3 pamoja na flagyl vidonge 10 kwa pamoja unameza yaani hapo siku mbili tu tayar shida inaondoka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niliambukizwa huo 2009 nimetoka advance tu wiki ya kwanza nikaparimia denu langu nikaukwaa kibaya zaid nikaenda yibiwa wanataka nipime na ukimwi. Nikaamua rudi home nikanunua doxy kunywa wiki nzima hamna nafuu nikarudi tu hospital na kupima ukimwi na kutibiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
ulikuwa unatumia dozi ya kizembe kijana ndo maana ulikaa week nzima bila kupona

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom