Nakiri: True Confessions

Nakiri: True Confessions

Ahsante sana mkuu, kesho naazimisha miezi 2 ya Ndoa yangu.

Mke yupo njiani kutoka mkoani kuja home leo hii, Ndoa ni raha kama bado karibu sana chamani
Hujasema side effects zake.Ukute unavumilia mengi nakakwambia yuko kwao anakuja leo kumbe mpenzi wake anamla kwa mwishomwisho kabla hajaja kwako nakukwambia kachoka na safari hivyo hawezi chochote.
 
Hujasema side effects zake.Ukute unavumilia mengi nakakwambia yuko kwao anakuja leo kumbe mpenzi wake anamla kwa mwishomwisho kabla hajaja kwako nakukwambia kachoka na safari hivyo hawezi chochote.
Ukimchunguza bata sana hutaweza kumla[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ukiwa na dhana za hovyo hovyo hutaishi kwa amani daima.
 
Kwendraaa una hela za kutoa ww ??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mpunga wa leo nimeuvuta taaratibu ATM.

TZS 100000 imetolewa kwenye akaunti inayoishia na 02214 tarehe 01-01-2020 07:23. Kama hujafanya muamala huu piga 0800002002
 
Inna... ila wanaume hawajui asali zilipo Mwifwa kaenda kuoa kwao huko Pwani kakusahau hapa.

Tumpe miezi sita atarudi kutuomba ushauri.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila mna hamu sana nije nilete uzi wa kuomba ushauri hapa.

Na mimi naomba hayo yasitokee.

Tuone maombi yenu au yangu yatakuwa na nguvu zaidi.
 
Back
Top Bottom