I asked rhetorically!
Hahahaaaaaa.
I doubt you know what that means.
endelea kujitekenya
I asked rhetorically!
Hahahaaaaaa.
I doubt you know what that means.
Wakwe wametoka arusha kuja dar kwenye harusi wote wamelipiwa dreamliner
Mkuu sijui kwa nini unashangaa yanayosemwa huku mitandaoni.
Sote tunajua wanaopiga kelele kwa sauti kubwa ni wale waliokuwa wanapata hela za serikali kiulaini. Hawa ni kama:
[emoji830]TRA officers
[emoji830]TPA officers
[emoji830]Wapokea mishahara ya watumishi hewa
[emoji830]Wauza ngada
[emoji830]Waliofaidi mafao ya mikutano nje ya ofisi
[emoji830]Waliokuwa wanatumia ofisi zao vibaya
[emoji830]Waliotegemea tenda za rushwa
[emoji830]N.k.
Hawa, na waliofaidika toka kwao ndio wanaopiga kelele leo.
Uliona watu kama Zitto walivyoshupaa bungeni wakati hela ya export levy ya korosho ilipokatwa na kutokupelekwa kwenye bodi?
Mimi nawasikiliza kelele zao tu halafu nasema
Ihiiiiiiiiii.[emoji23]
Mbio za sakafuni huishia kizingitini.Wana hela za kununua bando kuja mitandaoni kulialia eti hali ni ngumu!
Kama hali ni ngumu waache kununua bando wakanunue chakula wale.
Hayajakukuta na ulizaliwa familia za king fulani labda. Uhalisia upo kama umezaliwa kwa familia maskini, mfano kwangu mm, mzee anaumwa hana uwezo wa kwenda hospitali, me mwanao nilikuw na kiasi kadhaa akanishaur bora niombe mkopo ili niendlee na masom, ajabu mkop nimekosa na hela yangu imeliwa unadhani me naish vp na familia yetu? kujiaji bila mtaji ni sawa kutwanga maji upate unga tu. Mshukuru mungu kwa kuish vizuri ila hali ngumu sana tunaumia sana
Ahsanti.ngoja leo nikufollow..una busara sana..una madini kwakweli...
Watu wamejipanga kubishana leo
yaani kaamua jumapili tu naanza kubishana mpaka usiku weekend aifanye hivyo
Mbio za sakafuni huishia kizingitini.
Ifikapo 2020 ndio tutaona kama majority ya watu wanaichukia hii serikali.
Mkuu tuombe uzima tu.
Upinzani utaumbuka vibaya sana safari hii.
Kuna vyama vitafunga ofisi.
Write your reply...hivi wewe mmyantuzu mbona unakebehi watu?
endelea kujitekenya
Kibaya kwenye hilo jibu langu ni kipi?
Manake mimi ndo nimedokeza kwamba kula mihogo si nongwa.
Mihogo ni chakula tu tena ni mitamu kweli kweli.
Sasa fedheha iko wapi hapo?
Watu wanaolipwa milioni 7 hawali mihogo?