Amicus Curiae
JF-Expert Member
- Sep 12, 2012
- 5,352
- 7,662
- Thread starter
- #141
Usimroge mkuuHawa wajeda wapuuzi sana.
Nilipanga kwa mmoja, ila nyumba ilitaka ukarabati kabla ya kuingia. Jamaa kasema hana pesa, nitangulize kodi ili aitumie kurekebisha nikaona fresh.. nimelipia miezi 6 akasema ndani ya siku tatu kutakuwa tayari. Siku 3,5,wiki, wiki ya pili.. nkaona mazoea yanazidi nikaamua kumjia juu, akasema njoo ulete vitu nyumba tayari. Nikaenda kupaona aisee.. ukarabati low budget.. choo hajaweka mlango. Nkamwambia mwenye nyumba jiheshimu basi, me naingiaje kuko hivi.. eti ooh nimeona una haraka sana, sasa we leta tuu vitu af tutaendelea kupaweka sawa. Nkamwambia siingii nyumba iko hivi.
Maneno yakawa mengi, mwisho wa siku tukashindwana nkamwambia anirudishie kodi yangu siingii kwake tena.. tukenda mpaka kuandikishana kwa mwenyekiti wa mtaa. Kufika kwa Mwenyekiti kumbe wanafahamianalakini tukaenda hivyo hivyo. Makubaliano yalikuwa anilipe baada ya mwezi. Yaaani anavyonisumbua saivi.. Bora nichukue namba pale juu nimrogee.. maana haiwezekani pesa yangu inisumbue tena kuifuatilia. Yeye kakaa kimya, mimi nna kazi ya kumpigia daily, na kiswahili kingi.. shida saivi tupo mikoa tofauti.. Bora nimroge tuu.. at akifa sio mbaya.
, twende kwa mwajiri ukiwa na backup ya malalamiko yako.Pole sana!
lakini tukaenda hivyo hivyo. Makubaliano yalikuwa anilipe baada ya mwezi. Yaaani anavyonisumbua saivi.. Bora nichukue namba pale juu nimrogee.. maana haiwezekani pesa yangu inisumbue tena kuifuatilia. Yeye kakaa kimya, mimi nna kazi ya kumpigia daily, na kiswahili kingi.. shida saivi tupo mikoa tofauti.. Bora nimroge tuu.. at akifa sio mbaya.
