Tatizo umbali.. sipo DSM, sipo mkoa wenye hiyo nyumba, na naskia yeye saivi yupo kozi mkoa mwingine tena. I wish nimlaze kitandani tuuUsimroge mkuu [emoji28], twende kwa mwajiri ukiwa na backup ya malalamiko yako.
Pole sana!
Tatizo umbali.. sipo DSM, sipo mkoa wenye hiyo nyumba, na naskia yeye saivi yupo kozi mkoa mwingine tena. I wish nimlaze kitandani tuuUsimroge mkuu [emoji28], twende kwa mwajiri ukiwa na backup ya malalamiko yako.
Pole sana!
[emoji23] Hujui tuu inavyoniuma, bora wewe unayeweza kumsamehe deni.. me nashindwa, af kinachouma zaidi naona kanidharau sana yani.Dah [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] umlazeje tena!!Tatizo umbali.. sipo DSM, sipo mkoa wenye hiyo nyumba, na naskia yeye saivi yupo kozi mkoa mwingine tena. I wish nimlaze kitandani tuu
Pole sana mkuu![emoji23] Hujui tuu inavyoniuma, bora wewe unayeweza kumsamehe deni.. me nashindwa, af kinachouma zaidi naona kanidharau sana yani.
Ushauri uliompa sio mzuriUnajua umeandika kama sisi humu ndio majirani zake huyo afande, sikiliza mdogo wangu, wakati wowote unapopatwa na tatizo lolote jaribu kuwa mtulivu na kama unahitaji ushauri toa maelezo ya kutosha yanayohusiana na msaada unaohitaji, pia usikurupuke kutoa hukumu au kuchukuwa maamuzi kwa kutumia hasira au utashi wako binafsi, unaweza kuwa umeonewa, umedhulumiwa, au vyovyote itakavyokuwa, lakini dunia hii haki pekee haikufanyi uwe na sauti mbele ya mamlaka au sheria, hususan upande huo wa magwanda, kwao wao hakuna sheria za duniani wala za mbinguni zinazofanya kazi, kwahiyo kuwa makini huyo anaweza hata kukunyanganya hiyo nyumba akasema ni yake na mamlaka ikakuweka wewe ndani na kusema ulitaka kumdhulumu, kwa kifupi umeyatimba, nakushauri mvumilie na mpe siku au mwezi kama hajalipa mwambie mimi nyumba nauza, utamuwachia msala huyo atakaekuja kununua, kwa kifupi umeyatimba.
Huyu jamaa ni wa kumsamehe bure tu [emoji28]Ushauri uliompa sio mzuri
Vipi ulifanikiwa?Bravo mkuu!
Iwe ni kwa maradhi au kifo.. IDC [emoji41]
Bado sijaenda mkuu, nitaenda j'mosi ya tar 17 ndio nitakuwa Dsm.Vipi ulifanikiwa?
Hapana usifanye hivyo mkuu, mhurumie tu [emoji28]Iwe ni kwa maradhi au kifo.. IDC [emoji41]
Kwahiyo askari polisi wamechoka mbaya kabisa [emoji28][emoji28]Kama ni mwanajeshi basi Kuna Malaya anamuhonga au anajenga kwake maana hao Jamaa wanalipwa tu poa,ila kama ni askari polisi msamehe tu Bure maana hawana tofauti na Waalimu.
Nashukuru sana mkuu.Pole sana mkuu
Unawaza hivyo, ila yeye hawazi pesa yangu. Wala Hana dalili ya kunilipa. Ngoja tuu,, ntamshangaza soonHapana usifanye hivyo mkuu, mhurumie tu [emoji28]
[emoji23][emoji23]Unawaza hivyo, ila yeye hawazi pesa yangu. Wala Hana dalili ya kunilipa. Ngoja tuu,, ntamshangaza soon
Sawa mkuu, jmosi nitaleta mrejesho kwasababu ndio nitafika pale Ngome-Upanga kwa ajili ya kutafuta taarifa zake na kumshtaki.Upele umuota asiye na kucha , natamani angekuwa huo ujinga ananiletea mimi .
Anyway mkuu pole sana , fuata njia hasa za wadau wengi walivyokushauri ni matumaini yangu utapata haki yako .
Ila ukifeli na huko leta namba yake ya kazi na majina kamili .
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Nadhani j3 ingekuwa bora zaidiBado sijaenda mkuu, nitaenda j'mosi ya tar 17 ndio nitakuwa Dsm.