Najuta sana

Najuta sana

🤣 🤣 🤣 🤣
🤣 Mzee anavizia masege ya kijana
Kuna Mzee nikiwa Tanga alikuwa na mabinti wazuri halafu wana kimghahawa. Sijawahi kunywa chai tamu vile toka nizaliwe aisee kwa mapishi Tanga wanajua sana. Mwenyeji wangu Alison mchezo akaniambia hawa watoto wana password usije mruka au kujaribu kula mzigo utakufa.

Kifup jamaa alinielezea mengi sana alidai baba aliweka usinga kwa mama yao na wale watoto walimruka mama yao hivyo pia nao wana usinga wa mama yao. Jamaa alinambia mambo ya ajabu mpaka nikawa nawaona mademu wote kama wanaume acheni tu haya mambo yasikieni kwa watu..
 
Ngoja nijazie jazie kumbe yule mzee alikuwa ni mzee wa kizenji bwana na ule ulikuwa ni mtego ila jamaa atolewe masega na mwisho wa siku mzee alipanga njama na akafanikiwa kumtoa jamaa masega hivi mpaka dakika hii tunakwenda mitamboni ndugu yetu hana masega na amejiunga rasmi na kikundi haramu cha kataa ndoa akiwa kama mweka hazina wao.
 
Ukifika muda wa kutoa ushauri takuwa nimesahau mwanzo wa simulizi
 
Ngoja nijazie jazie kumbe yule mzee alikuwa ni mzee wa kizenji bwana na ule ulikuwa ni mtego ila jamaa atolewe masega na mwisho wa siku mzee alipanga njama na akafanikiwa kumtoa jamaa masega hivi mpaka dakika hii tunakwenda mitamboni ndugu yetu hana masega na amejiunga rasmi na kikundi haramu cha kataa ndoa akiwa kama mweka hazina wao.

🤣🤣🤣

Mweka hazina wa wakulungwa wa kataa ndoa...
 
Kuna Mzee nikiwa Tanga alikuwa na mabinti wazuri halafu wana kimghahawa. Sijawahi kunywa chai tamu vile toka nizaliwe aisee kwa mapishi Tanga wanajua sana. Mwenyeji wangu Alison mchezo akaniambia hawa watoto wana password usije mruka au kujaribu kula mzigo utakufa.

Kifup jamaa alinielezea mengi sana alidai baba aliweka usinga kwa mama yao na wale watoto walimruka mama yao hivyo pia nao wana usinga wa mama yao. Jamaa alinambia mambo ya ajabu mpaka nikawa nawaona mademu wote kama wanaume acheni tu haya mambo yasikieni kwa watu..
vp ukitaka kuoa,utakufa au inakuwaje kuhusu hao mabinti.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom