Najuta sana

Najuta sana

Hakuna kitu kama hicho kupanda dau ni kitu cha kujipanga. Sasa umefika na watu wako,hakuna maongezi hapo,ni kama vurugu fulani. Mzee na watu wake watapigwa na butwaa ni kitu ambacho hawakukitegemea. Hapo wamekuja kazi kazi watapata wapi muda wa kukubariana na mzee?.
Njia salama ni kwenda na polisi vinginevyo anaweza kukutana na haya
1. Utakuta mzee anamiliki bunduki, anawapiga risasi kama wezi
2. Baada ya kumfanyia vurugu, mzee ataenda polisi na kudai ameibiwa pesa milion 20. Sijui unaanzaje kijitetea wakati kweli ulienda na watu ukafanya fujo.
Mambo siyo rahisi kama unavyofikiria
 
Ila jamaa akili fupi aisee.

Unazagamulia ndani ya nyumba ya mzee.
Kwa akili ya kawaida tu unadhani mzee hana wasiwasi kumuacha huyo binti na kijana barobaro kama wewe.

Okay nenda polisi mkuu, mkutanie hukohuko. Ama lah mtafute mzee mwsnyewe kwa simu muyajenge ila usioneshe unyonge saana, atakutesa.
 
Write your reply...chakukushahuri hama mji..au achana navitu vyako huyo mzee hawezi kukuacha salama atakufilimba na atakupoteza akikushika..haiwezekan umlie mkewake hatamwezi haujaisha toka amlete ukijipeleka polisi umekwisha mzee inaonekana nimtu mkubwa pesa ipo atakupoteza
 
Unachakata mali ya mtu kwake jamaa angu, pole ila walioshauri uende polisi wapi sahihi, ila tafuta mganga mapema kabla hujafata vitu vyako, nilihisi tu kwa mzee kutakua na camera na ndo maana alipoondoka last time hakukuaga,poleeee ......ajali kazini tunaitaga iyo
 
Sijui kitachotokea, ila story yako imenikumbusha Tanga mitaa ya chuda nilipataga hifadhi kwa workmate wakati nimeenda kuanza kazi baada ya chuo. Ni zile nyumba za siku nyingi, kuna mdingi wa makamo ila mswahili alikuwa ndo mwenye nyumba nae anaishi chumba kimoja na mke wake ni bonge la kisu mwarabu shombeshombe hivi.

Sasa mimi nilikuaga namtamani sana, na alikuaga ni dem anaependa story. Siku moja tumetoka job Jumamosi mida ya sa nane tukakutana na father house akasema anasafiri atarudi baada ya kama siku 3. Nikamwambia jamaa yangu kumbe huyu mzee huwa anasafiri anamuacha manzi? Hapo akili ya kujilia usiku usiku ikaja. Jamaa yangu akanambia najua akili yako, ila usithubutu maana huo ni mtego hata mimi alinifanyia sana pindi nimehamia na hadi leo anafanyaga mara mojamoja.

Nikamuuliza anafanyaje? Akasema ngoja utaona. Basi siku hiyo tukatoka jioni tukaenda bar moja inaitwa Nyinda ipo mitaa ya juu tu na home, jamaa yangu akanambia subiri hadi mida ya saa sita hivi ndo turudi home. Kule geto tuliacha taa inawaka huku tumefungulia mziki. Kweli mida ya saa sita tukarudi, jamaa akanambia tutege sehemu kwenye giza tusionekane.

Basi kweli tukaona mtu anaenda dirishani halafu kama anaskilizia then anatoka anaenda nyuma ya nyumba, baada ya kama dak 15 anarudi tena. Mimi akilini nikahisi mwizi, ndo jamaa akanambia yule ni faza hausi. Ndo mambo yake hayo analinda mali kujua kama kuna anaemgongea mke wake. Basi tukaenda ile tunatokeza hivi tunakutana nae akaanza kuzuga eti karudi muda ule toka safari alienda na kugeuza. Hapohapo akamgongea mke wake nae akazama ndani. Nilimdharau yule mzee balaa kwa ule utoto alokuwa anafanya
Mwamba ungevuliwa kama samaki wa maji ya kina kifupi
 
Kwaiyo toka uo mwezi wa 2 mpaka leo mwezi wa 5 vp au ndo mzee kashakutoa auti
 
NIMERUDI KUMALIZIA...

YA MWISH0...

Basi bwana Nikawahi zangu daladala Ili kwenda h0me,Aisee nyege izi acheni ziitwe nyege Yani Dereva Nilimu0na kama Anaendasha Md0g0md0g0 Akili yangu Ilijaa Ufuska Hakika Yule Binti Aliniteka Akili...

Nikiwa katika Gari nilikuwa nawaza Jinsi Nitakavy0mkunja kunja Yule mt0t0,Nitamla kwasababu sijamgusa mwezi na siku kadhaa Kwasababu mumewe Alikuwep0,Hatimae nikafika Home nikafungua geti nikazama ndani,Nilipitiliza mpk ndani kwangu,Nikawahi bafuni ili kufungua LEMBA langu Nililil0fungia MK0NG0,Nika0ga Kisha nikatuma txt kwa binti kuwa nisharudi Nip0 kwangu...

Ile txt haikujibiwa Nika0na si0 kesi,Nikavaa Taul0 langu Nikakaa siting room Kwangu Nikizuga zuga kuchek TV Jap0 Hata sielewi naangalia nini...Kama Nusu saa Malang0 wangu Ukafunguliwa Akaingia Yule Binti Akiwa Amevaa Ngu0 flani ivi Lainiii ambay0 inach0ra vyema Umb0 lake(Nightdress Mnaitaga) Akanifata huku Akitabasamu,Na0mba Nikili jamb0 Kuhusu Yule binti,Kwanza alikuwa anaushawishi sana Kihisia Yani kumu0na tu Dyudyu Imesimama Yani daaah Acheni tu Kuna wanawake humu duniani wameumbiwa Utamu Utamu...

Basi Tulisalimiana kid0g0 tu,Kikafata kifuatach0 ITV, Ali0nesha amenimiss mana Hakunipa Time ya kuzungumza,Kafunua Taul0 Akachukua KIBAMIA CHANGU Akaanza kukitafuna,Kupinduana sana,Nilipiga sh0w kama nimefunguliwa kut0ka jela,MKONG0 ukifanya kazi yake Ba0 la kwanza Huchukua hata lisaa(Muhimu uwe na OLIVE OIL ili Kufanya mamb0 yawe pambe kurainisha Uke mana kufanya mapenzi dakika 50 au lisaa sio mchez0)

Basi Tulizagamuana sana mule ndani,Siting Room na Chumba kulinuka ng0n0,Baada ya ku0na kila mtu kat0sheka tukaanza piga mast0ry ya mwezi mzima na siku kadhaa kipindi ambach0 hatukuwa pam0ja..Nilimuuliza Kuhusu mzee labda Ali0na mabadilik0 y0y0te Alisema Hapana Alikuwa kawaida tu Hakuna mabadilik0...

Tulipika pakua kwa muda wote mzee alip0kuwa hayup0 mpk kufika Tarehe 22/2/2023 Yaani juzi Hapa...

Ilikuwa usiku wa saa mbili ivi nilikuwa nae ndani kwake I mean kwenye chumba cha mzee wake Nikimzagamua Baada ya kulana aliniambia Hawezi kupika mana hana nguvu iv0 niende Barabarani Kuchukua ms0si nikasema DUA nikavaa Pensi langu na Vesti Nikat0ka Barabarani,Nikanunua chips kuku Na kaEneji Ya m0 Ili Kuji0nd0lea uch0vu,Sasa nikiwa narudi karibu na h0me na0na Kuna gari linakunja Kwenye Geti la nyumba.....Nikajibanza sehemu ili Nijiridhishe kwa kile nilich0ki0na,Aiseee Ni gari la mzee Na alishuka nikamu0na LIVE na Hakushuka Peke Yake Alikuja na Jamaa Watatu Jumla na mzee ni wanne...

Kichwa kiliwaka m0t0 kiasi flani,Waliingia ndani Huku Gari wakiwa wameliacha Njee Ya geti,Nikasema Siendi kwanza acha ni0ne Kuna nini,Maana mzee mb0na amewahi hata kurudi hata miezi miwili haijaisha Pia Why Arudi na watu tena mbavu Vilee...

Nilikaa njee kama dakika 30 ivi,Mara Geti Likafunguliwa akat0ka Kijana mm0ja kati ya wale watatu Akapanda gari akaliingiza ndani,Baada ya hap0 kukawa kimyaaa Sikujua ndani kunaendelea nini na nilikuwa na h0fu sikutaka kuingia ndani, iv0 Nilijikalia njee Nikipigwa na baridi...

Nilikaa njee mpk saa 5 usiku Nikiwa nawaza niingie au nisiingieee?Nawaza kama mzee Alistuka na alikuja na wale vijana kwaajiri yangu Sinitakuwa nimeisha mimi...Nilifikilia MATAK0 YANGU nika0na hapana siingii...

Mida ya saa 6 ivi nikiwa zangu njee Tena mbali kidogo na maene0 ya pale h0me ikaingia txt Kut0ka kwa binti ikisema ivi...NANUKUU: Mdig0 Usirudi Hapa nyumbani,Kimbia mbali uwezavy0 Mana Mume wangu amejua kila kitu kuhusu mimi na wewe na Ushahidi wa vide0 ana0,Amenipiga sana ila kasema Haniachi ila wewe Ndi0 Utakuwa mke mwenzangu,Kimbia...

Nimedata sana,Niliwaza mengi Sana,Nikawasiliana na jamaa angu kuwa nataka Hifadhi Akakubali,kwakuwa Nilikuwa na Kama buku 7 mfuk0ni nikaita b0da Anipeleke kwa jamaa angu Ila Sikutaka b0da Ajue ninap0enda iv0 tulivy0kalibia Akaniacha njiani Nikamalizia safari mwenyewe kwa mguu...

Nilifika kwa huyu jamaa angu (ninap0kaa mpk sasa ivi ninavyo typ) Nilikuwa na mawaz0 sana Nilimsimulia jamaa angu vy0te vilivy0jiri Siku Hi0(Kuhusu mahusian0 yetu na yule binti anajua mana nilimwambiagq na yeye ndi0 ananipaga mkong0)

Nililala Nikaamka Nikidhani nitakuta hata missed call au Txt kutoka kwa mzee au binti ila wapi,Txt z0te ni za PATAPATA na CHOTA MIHELA...Nilikaa kwa jamaa angu Nikiwa navaa ngu0 za jamaa angu,Mana vitu vyangu vy0te niliacha kule kwenye chumba changu...

Siku ya jana Nilipigiwa simu na yule binti akasema wale vijana wanalala ndani kwangu Mimi(chumbani kwangu) Wananing0ja,Na anawapikia yeye Tena UGALI, Asubuhi wanafanya maz0ezi kwenye paking mule mule ndani wanakimbia kimbia yani daah...

Le0 Asubuhi Yule mzee kanipigia sijap0kea Ila akatuka txt Akisema NITAJUTA KUZALIWA

Ushauri wenu jamani:Kiufupi mi nataka vitu vyangu vy0te mana hata j0b sijaenda tangu litokee hili mana Ngu0 zangu za kazini zip0 mule mule ndani..!Vitu Vyangu Nilijihimu kununua,Vyeti vya shule n.k Hata ule MKONGO wangu Up0 mule mule ndani...

Nilijaribu ku0mba msada somewhere Ila nikaambiwa hili jamb0 zit0 sana mana linaushidi mpk wa vide0...Kila nikiingia Instagram nawaza Naweza kuta Connection Yangu basi Nadata....

Yule binti Hapatikani tangu asubuhi mpk sasa iv0 sijui nini kinaendelea...

#MDIG0 #B13
Mapenzi yenu yalizidi mipaka. How can you dare kulala na mwanamke kwenye nyumba na kitandani mwa mwanaume wake??

Huyo hata akienda kwa Sangoma ana vitu vya kutumia kukushughulikia.

Bora ujipeleke tu wakufulimbe umalize huo msala na uchukue vitu vyako😂😂😂. Vinginevyo usipoenda utapoteza vitu vya muhimu kama vyeti na bado atakuroga.
 
Bro to be honest nishawah kua kwenye situation kama yako same situation sema Mimi huyo jamaa alikua hanijui japo ashawah kuniona Kwa mbali sanaa Kwa maelezo nilopewa na mke wake baada ya sakata kutokea nilikuta text moja tu asubuh kijana chunga sanaaa kutembea na wake za watu nitakufanya kitu mbaya sanaa alaf message nyingine ikaingia kijana nakushauri kawah hospitali ukaanze dozi uwe salama daah nikimuangalia Yule demu alivo mzuri na anavyopenda bata nikasema ngoja niwah CTC tu Nile PEP nimetumia PEP kama week hivi zile dawa ni hatar zinachosha sanaa baadae nilikuja kujua ulikua mkwara tu nikaachana nazo niliogopa kiasi lakini nilijiapiza sitokuja kujaribu tena kurudia upuuzi kama huo kwasababu mwisho wake hua ni aibu tu naona jamaa hakuwah kunitafuta tena baada ya hapo japo mke wake bado ananitafuta lakini nashukur nimeweza kuhimili vishawish kiasi Fulani japo sometime nawaza sijui nirudi hahaha ila nikikumbuka Ile message nahisi huu ni mtego nikipata wasaa ntakuja shusha story nzima humu

Litapita na hili kikubwa tulia usifanye maamuzi kimihemko watu husahau we kausha Kwa mwanao kule usirudi tena vitu utanunua tu vingine na vyeti utavipata kikubwa tulia Tu usifanye maamuzi kimihemko
Hii story mpka leo hatujaiona mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom