Najuta sana

Najuta sana

Mtu mzima alindwi/achungwi, ni kosa kubwa sana. Kuna dada mmoja mmewe ni mkali anamlinda lakini asubuhi huyo dada anaamka mapema kufanya mazoezi(jogging) anapita kwa mwamba anapata dozi mapema alafu anarejea home kama katoka mazoezi. Huu mchezo kaufanya mpaka jamaa yangu alipoanza kuishi na KE wake ndio ukakoma.

Nawa uso na maji baridi 😂
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Hahah mwanamke hachungwi bwana, the least you can do ni kumuonya tu awe makini.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom