dyuteromaikota
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 5,936
- 8,345
Kila mtu jf ana kisa anataka kusimulia na kila mtu yupo bize hana muda wa kuandika yote.Simulizi isiyoisha
Kila mtu jf ana kisa anataka kusimulia na kila mtu yupo bize hana muda wa kuandika yote.Simulizi isiyoisha
Unataka iishe.Simulizi isiyoisha
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Mi ndio maana mambo ya pisi kali uzeeni siyatakagi. Tupelekeane moto tu kistaili.Asa si atulie ndani, mitego ya nini aje kufa na presha bure bila sababu za msingi😂
Au atakua hapigi show vizuri umri umesonga af mke ni pisi kali bado inadai, so anajishtukia hana amani
EwaaKwA uAnDiShI Hu0 tUna0mbA uSIruDi UmbWA WEe
Mimi namaliza kila kitu ujanani mzee.🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Mi ndio maana mambo ya pisi kali uzeeni siyatakagi. Tupelekeane moto tu kistaili.
Sio kukimbia tu nadhani, nimezungumzia kwa ambayo nimewahi kuona akifanya.Mazoezi ya namna gani hayo? Kukimbia tu, ama?
Zanana ndio nini mkuu?Hata ingekuwa wewe Zanana unaweza kumuacha kweli?
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Humjui zanana juisiZanana ndio nini mkuu?
Siezi kumuacha japo mke wa mtu sumu.
Kweli kabisa, jamaa alijua kaziba mianya yote kamaliza, asubui anaachwa ndani akijua mke anaenda mazoezi, kuna watu wana mbinu sana.🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Hahah mwanamke hachungwi bwana, the least you can do ni kumuonya tu awe makini.
😂 ungesema zanana juisi🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Humjui zanana juisi