Najuta kwa mara nyingine kuwa na mahusiano na mke wa mtu

1. Mkuu, kwa imani yangu inanieleza kuwa, usichopenda kufanyiwa basi usimfanyie mwenzio.

2. Leo utaona huyo mtu unammudu, mtu akishatambua uovu anaofanyiwa, yupo tayari kulipa, huwezi kujua anafahamiana na nani ama nani atamsaidia ili kulipa.

3. Kesi ya ugoni, utakachofanyiwa hakina tofauti na mwizi.

4. Utakuja kuharibu familia yako daima kwa tamaa hizi ambazo umezishikilia kwa mke wa mtu.

5. Unaweza ukasoma haya yooote na bado ukajipa imani kuwa hayawezi kukutokea, unajua nini? Ulizia wooote waliowahi kupatwa na madhara ya ugoni, wameshawahi kufkiria kuwa watakamatwa?

6. Umemuoa mke wako, mpende na kumheshimu sana. Heshimu mama yako mzazi, heshimu pia mke wako.
"Naomba Mwenyezi Mungu akuzidishie hekima na busara Kama Mfalme Suleiman"
 
Usijisifu kula Mke wa mtu. Huenda wewe huna mke, ila ishu ya kuliwa mke inauma sana. Mnaweza mkaficha sana ila siku moja mambo yatakua wazi, mwenyewe atajua na ndoa yake haitakuwepo tena.
Anaweza pia mumewake asijue lakini akili ya mwanamke inaweza kunogewa na wewe na kufanya amdharau mume wake. Hali hiyo pia inaweza kua sababu ya kuteteleka kwa ndoa yao.
Kama kweli huna nia ya kuharibu ndoa yake, basi hujachelewa, achana nae, achana na wake za watu. Maana KARMA is real
Wanawake wengi ni wadhaifu, sasa usitumie udhaifu huo kwa wake za watu.
 
YoyoyoyoooRudia tena - Unasema unammudu? unaonekana una uzoefu na wake za watu ila jihadhari ndugu, Kuna jamaa alijifanya mbabe kama mfano wako hiivyo hinvyo, ukweli mpaka sasa naandika hiki Jamaa ana kojoa usaha na amekata tamaa hajui anaponea wapi, Hosptl amemaliza anapata nafuu tu kidogo inarudia, mkewake nae amegundua kuwa mumewake shida nimke wamtu,
Jamaa anajiona yuko powerful
 
Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa;
Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake.
Atapata jeraha na kuvunjiwa heshima;
Wala fedheha yake haitafutika.
Maana wivu ni ghadhabu ya mtu;
Wala hatahurumia siku ya kujilipizia kisasi.
Hatakubali fidia yoyote;
Wala hatakuwa radhi, ujapomlipa vitu vingi.

Mithali 6:32-35
 
Naombeni ushauri nimfanyaje huyu mke wa mtu.

M U A C H E

Kuna siku utaukumbuka huu ushauri,,, hio siku haina taarifa itakuja tu ghafla..

Nasisitiza tena acha tabia ya kula wake za watu
 
Ni mwanamke ambaye nilionana nae nilipoenda kutembelea maonesho ya biashara ya sabasaba mwaka jana, na hii ni baada ya kumaliza shughuli za ukaguzi katika banda letu nikaona si vibaya nipate kutembelea mabanda mengine kujionea biashara na ubunifu wa vijana wetu.

Wakati nazunguka nilifika katiba banda moja ambalo lilikuwa na wadada ambao walikuwa wakinadi bidhaa zao nikauliza maswali yangu pale mwisho nikaomba business card ya aliyekuwa ndio boss pale ambaye alikuwa ni mdada mmoja mzuri sana kuanzia rangi na umbo kwa ujumla kwa ufupi alikuwa amekamilika.

Baada ya siku kadhaa nikawa namtafuta kumjulia hali akawa mzito kujibu text zangu , mwanzo nilionesha kukata tamaa ila upande mwingine wa nafsi yangu ulisema hapana endelea kumtafuta mbona kama alivutiwa na wewe tangu ulipokanyaga banda lao pale.

Kweli bwana nikaendelea kuwasiliana nae nakumbuka kuna nilisafiri kuja mkoa X alipo ikanibidi nikamtafuta tu kujua anaendelea vipi na mwisho nilamwambia nipo mkoa uliopo kwa wiki kadhaa na ningependa sana tupate chakula cha usiku pamoja mimi na wewe sehemu X, kwa ufupi aliitika wito siku hiyo tulizungumza mengi na hapo ndipo nikatokea kujua udhaifu wake upo wapi?

Nikaendelea kuwasiliana nae na tukawa tunaonana nae kila mara nilipokuwa nasafiri kwenda mkoa aliopo, hadi mwaka huu mwezi uliopita alinitafuta mwenyewe maana alikuwa akijua ratiba pindi nifikapo mkoa X kikazi akanipigia simu akanijuza kuwa “Leo anataka tulewe tucheze mziki pamoja” eeh nikasema nini kimemkumba huyu mrembo.

Siku hiyo nilimstaajabu sana maana alikuwa mchangamfu kupitiliza nikamuuliza kila kitu kipo kipo sawa akanijibu “tutazungumza D” nikamwambia muda umeenda itabidi ukapumzike sasa itabidi nikusindike ukapumzike kitu alichonijibu ni kwamba “Leo utakapoenda kulala na mimi ndipo nitalala” aisee nilisikia sikio linalia nziiiiiiiiiiiiiii kwa wale waliowahi kupigwa makofi kwenye sikio wanaujua vyema mlio huo wa sikio.

Kwa ufupi tulijikongoja hadi nilipofikia na kweli tulifanya ya kufanya niwe muwazi yule binti alikuwa fundi sana ingawa ana watoto wawili ili maungo yake yalikuwa bado ni kama ya wale mabinti wadogo, nikiri tu ingawa alikuwa ni mke wa mtu ila nilishangaa sana yeye kuwa na nyege kiasi kile.

Kisa cha kuleta uzi huu ni kwamba mwanamke yule hakuwahi kufikiria ku- cheat ila sasa amenitamkia ya kwamba ataniheshimu na atamheshimu mke wangu ila tu anaomba niwe mtu wake wa pili na yuko tayari kufanya chochote ninachotaka ili tu awe na mimi.

Hapa bado nipo kwa tafakuri zito maana nakumbuka miaka ya nyuma nilibahatika kutoka na dada mmoja ambaye pia ni mke wa mtu ila nilijikuta natumia gharama nyingi sana kwake mfano; kumuongezea mtaji katika biashara yake na kulipia kodi mara nyingi hivyo nahofu yaleyale yasije yakajitokeza kwa huyu tena.

Naombeni ushauri nimfanyaje huyu mke wa mtu.

NB

Nimegundua mme wake pia ni mtu wa safari kama mimi tu na yupo kitengo fulani na nammudu vizuri kabisa, hivyo hawezi kuwa tishio kwangu hata kidogo.
Unammudu eeh owk.
 
Achaa uzizi sheik....mchepuko wako na mke wa mtu,jua hata wewe mkeo Ni mchepuko wa mtu,jinsi unavyo mlia jamaa na mkeo nae analiwa na mtu hivyo hivyo maana na wewe Ni mtu wa kusafiri safiri so Kuna mahali anamaliza nyegere zakee.....that is fact
 
Kuna mtu niliwahi kumsikia anaongea kuwa Mme wake hawezi kumfanya chochote ila jamaa alikuja kupigwa na radi mchana kweupe na story ikaishia hapo na ww jua kuwa Madawa yapo achana nae
 
Usijisifu kula Mke wa mtu. Huenda wewe huna mke, ila ishu ya kuliwa mke inauma sana. Mnaweza mkaficha sana ila siku moja mambo yatakua wazi, mwenyewe atajua na ndoa yake haitakuwepo tena.
Anaweza pia mumewake asijue lakini akili ya mwanamke inaweza kunogewa na wewe na kufanya amdharau mume wake. Hali hiyo pia inaweza kua sababu ya kuteteleka kwa ndoa yao.
Kama kweli huna nia ya kuharibu ndoa yake, basi hujachelewa, achana nae, achana na wake za watu. Maana KARMA is real
Wanawake wengi ni wadhaifu, sasa usitumie udhaifu huo kwa wake za watu.



Vipi kwa mume wa mtu?
 
Naona mnavyotishana wake zenu kugegedwa

Ni yule Mwanaume ambaye yuko honest Kwa mkewe hachepuki ndiye ataeleweka lakini kama na wewe Mwanaume hujatulia unachepuka basi ujue ni tit for tat

Usilotaka kufanyiwa wewe na wewe usimfanyie mwenzio!

Kwa hiyo acheni mikwala yenu mbuzi!
 
Wacha iwe noti bandia Kwa cheni ya bandia iwe ngoma droo!

Nyie si mnajifanya mnajua kucheat?!

Ujinga wakati wa kwenda, kurudi huwa werevu

Nitamuelewa mwanaume ambae hachepuki tu lakini Kwa anayechepuka mmmnh wala asiseme kujifanya Eti imuume mkewe kugongwa!
 
Back
Top Bottom