Kula mke wa mtu ni sawa na kula malaya

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,660
12,304
Kwa tamaduni zetu mwanamke anaefanywa na wanaume zaidi ya mmoja anatambulika kuwa ni mwanamke malaya.

Kijana unayekula mke wa mtu tambua kuwa unafanyana na mwanamke malaya, na malaya huyo usipokuwa makini atakuponza kwa tamaa zako.

Kijana kwanini ufanye mapenzi na malaya ambae anayaweka malinda yako rehani, na wakati unaweza kununua malaya mwengine ambae hajaolewa na hautokuwa na wasiwasi kuwa nae?

Kijana badilika!

Ni heri uzini na malaya wa kawaida kuliko kuzini na malaya alie ndani ya ndoa.

Malaya aliendani ya ndoa ni mbaya sana na atakuletea matatizo.
 
Kijana kwanini ufanye mapenzi na malaya ambae anayaweka malinda yako rehani, na wakati unaweza kununua malaya mwengine ambae hautokuwa na wasiwasi kuwa nae?

Kijana badilika!

Ni heri uzini na malaya wa kawaida kuliko kuzini na malaya alie ndani ya ndoa.

Malaya aliendani ya ndoa ni mbaya sana na atakuletea matatizo.
Mkuu mjanja,

Hizo ni tamaduni za mfumo dume kwamba mwanamke akizaa nje ya ndoa ni Malaya ila mwanaume anapewa pongezi.

Si vitabu vya dini wala sheria hili suala si sawa hata kidogo.

mwanamke anayezini nje ya ndoa yake anaendana na mwanaume anayezini nje ya ndoa yake.
 
Mjanja M1 soma hapo mkuu
 
Propaganda ya hamsini kwa hamsini imepunguza wanaume wengi sana!

Kamwe mwanaume hawezi kuwa sawa na mwanamke: kihistoria, kibayolojia, kijamii, kidini, kisiasa, kiutamaduni, kimila, n.k.

Same applies kwenye sexuality na gender.
 
Mkuu sang’udi ,

Hizo ni tamaduni walizokuwa nazo wazee wetu, mwanamke alikuwa ni kama mtumwa na ni mali ya mume wake.
Dunia inapitia mabadiliko.
Ni sababu tulishaaminishwa hivyo, mwanamke ni kiumbe chenye hisia kama tulivyo sisi wanaume

sasa unafahamu dhana nzima ya 50/50?
 
Kama mna utofauti wa maumbile, lazima mtatofautiana majukumu. Mnakuwa sawa kama mnafanana kwa kila kitu.

Mwanaume kuwa breadwinner siyo utumwa. Mwanamke kubeba mimba na kuzaa siyo utumwa.

Usikubali kuwa brainwashed na mabeberu na vibaraka wao wanaowalipa kuharibu ustawi wa familia na taifa kwa ujumla.
 
Kama mna utofauti wa maumbile, lazima mtatofautiana majukumu. Mnakuwa sawa kama mnafanana kwa kila kitu.

Mwanaume kuwa breadwinner siyo utumwa. Mwanamke kubeba mimba na kuzaa siyo utumwa.

Usikubali kuwa brainwashed na hawa vibaraka wa mabeberu wanaolipwa kuharibu ustawi wa familia na taifa kwa ujumla
Mkuu,
Nilikuuliza unafahamu dhana nzima ya 50/50?
Unafikiri Kwanini miaka hiyo wanawake walikuwa wakichukuliwa kama watumwa na hata katika hesabu wasiwepo?

Mkuu,
Ungefahamu dhana nzima kwanza ya 50/50 je unaifahamu?
 
Kwa tamaduni zetu mwanamke anaefanywa na wanaume zaidi ya mmoja anatambulika kuwa ni mwanamke malaya.

Kijana unayekula mke wa mtu tambua kuwa unafanyana na mwanamke malaya, na malaya huyo usipokuwa makini atakuponza kwa tamaa zako.

Kijana kwanini ufanye mapenzi na malaya ambae anayaweka malinda yako rehani, na wakati unaweza kununua malaya mwengine ambae hajaolewa na hautokuwa na wasiwasi kuwa nae?

Kijana badilika!

Ni heri uzini na malaya wa kawaida kuliko kuzini na malaya alie ndani ya ndoa.

Malaya aliendani ya ndoa ni mbaya sana na atakuletea matatizo.
Pole mwanaume, Pole sana ndugu,

wahenga walisema,

nakukuu..
"dinia hadaa ulimwengu shujaa"....

"yalioyopita si ndwele tugange yajayo"
 
Mkuu,
Nilikuuliza unafahamu dhana nzima ya 50/50?
Unafikiri Kwanini miaka hiyo wanawake walikuwa wakichukuliwa kama watumwa na hata katika hesabu wasiwepo?

Mkuu,
Ungefahamu dhana nzima kwanza ya 50/50 je unaifahamu?
Dhana ya hamsini kwa hamsini ni mchakato wa kuleta usawa, kuondoa ubaguzi na upendeleo wa fursa kati ya mwanaume na mwanamke.

Kwa mfano; kazi za nyumbani zifanywe na wote, ajira zitolewe kwa ku-balance jinsia, n.k.

Bunge la Tanzania likaweka Wabunge wa Viti maalum. 😄
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom