we nawe mkongwe humu,ila hujaelewa kilio ch huyu mtu vizuri. Huo u-biological father sio kesi na wala sio kilio cha mhusika. Soma vzr ndgu.
Nimemulewa sanaaa! Alitaka kisa yeye analipa ada basi baba wa mtoto maskini hata asiende kumchungulia mwanae. Loooooh! Hata maskini nae mzazi ana uchungu na mwanae sema ndo afanyaje.
Sasa hapo kutaka baba mzazi ndo alipe ilihali anajua uwezo hanaa si kumjaribu mtu huko???????
Mi nasikia uchungu sanaaa mjue! My sis alizaa na mtu huko nje, sasa yule mtu nae chengaa. Maisha yake ya kuunga unga mara atume hela, mara asitume, na huyo my sis mwarabu nyuma anataka mambo ya IST kama hivo, ndo kaolewa na Prof ndugu yangu.
Prof anahudumia na kawapeleka wote wa 3 na yule wa nje IST sawa lakini marufuku kuwasiliana na baba wa mtoto, na marufku ksababisha mawasiliano kati ya mtoto na baba. Yule mtoto maskini anaambiwa amuite yule baba tangu mdogo. Sasa watu na midomo yao akasikia yule sio aba yake, wabongo tenaa. Mama yake anakaza he si your daddy, he takes care of you, hadi ubini kampa wa baba wa kambo.
Siku akaniuliza mamdogo is he my daddy? Mamdogo mwenyewe mie chengaa. Nikamwambia NO, huyo uncle tu, kamuoa mama yako, lakini wale wadogo zako yule baba yao. Kakasema No wonder he doesnt like me very much. Maskini. Nikamwambia baba yako yupo, huyu hapa face book, hapa ulivokuwa mdogo na mama yako, dont ever forget you have your real father out there, ukikua find him yourself. Ila for now forgt about him. Kila akiiona anataka nimfungulie facebook ya dingi yake amuone tuuu.
MASKINI NA MTU NA ANATAKA MWANAE APATE FUTURE SAWA LAKINI ANA UCHUNGU NAE PIAAA SIO KUTAKA KUJIBINAFSISHIA WATOTO WA WENZENU! Alaaaa!