Najuta kuoa mwanamke mwenye mtoto

Najuta kuoa mwanamke mwenye mtoto

Kwa hali yeyote mimi nitaua au kujeruhi. nikisamehe sana ndoa itaishia shuleni pale pale.no further discussion
 
Kaeni muelewane kuhusu kuwalea hao watoto. Kama baba wa mtoto ana uwezo kaza msimamo asomeshe damu yake na kama uwezo wake ni mdogo msaidie kumsomeshea huyo mtoto mungu atakulipa mbele ya safari. Duniani tunapita tyuu brother huwez jua huyo mtoto baadae pia anaweza kuwasaidia watoto wako wa damu.
 
Unauliza ufanyeje wakati umeshafanya tayari?! Aha haa haaa ... endelea kufanya hivyo hivyo unavyofanya! Kama ni kweli, kwa mtu mwenye mwenye ndoa ya kikristo nilitegemea ungekuwa mwangalifu, mvumilivu na mwaminifu zaidi coz pengine hata yanayokukuta na mengine mengi yatakayokukuta na matokeo ya wewe kuhukumu na kutoa adhabu kabla ya kudhibitisha kosa.

Kosa la 'mkeo' ni kutokukupa tu taarifa kuwa ana mawasiliano na baba wa mtoto wake, nilitegemea ungetunga sheria mpya kukabili hali hiyo ... ishu ya kunyimwa unyumba pia ina hatua zake za kuikabili ndani ya ndoa so katika maamuzi yote uliyoyafanya nakupa 0. All in all kosa lako la uzinzi na kusaliti ndoa yako limefuta makosa yote ya mkeo so unachotakiwa kufanya kwanza ni kutubu kwa MOLA wako then umuuombe msamaha ndo muanze kutatua zile changamoto za awali, vinginevyo nafikiri matatizo yako hayataishia wala kupungua kama si kuongezeka.

Kumbuka 'NDOA' ni mkataba na si kama uhusiano mwingine wa kawaida.



(Ni mtazamo binafsi)
 
Mkuu Mleta Mada,

Hapo ulipo huenda umebakiza miaka 15 - 25 ya kuishi hapa duniani. Hivyo, stop wasting any extra time kujipa mawazo kwenye maisha yako. Just amua tu.

Kwa jinsi nilivyoisoma stori yako, nakushauri umuoe huyo jirani yako maana kwanza anajali na hilo ndio la muhimu. Huyo mwarabu mpige chini aende kwa bwana yake wa zamani.

This is simple; Make your life simple.
 
Mi nitafika hata miaka 50 nje ya ndoa SIZAIIII! Nyie mtoto unavomnyakwa shida baadae anageuka kama kikwazooo! Wanaume mna gubu nyieee, mbona mitoto yenu mnazaa nje mnalelewa?

Hata unune vipi, japo tunashukuru unamuhudumia lakini wewe sio biological father kwake. Biological father japo hana hio ada lakini ana haki ya kumuona mwanae.

Kwa hio huyo dada atakusaidia nini kwa mfano ZAIDI YA KUKUCHUNA? Hata ukimuoa huyo mpora mabwana za watu visa viko pale pale. Hivi hujiulizi kakubali wewe mwenye mke, ukimuoa hato mbwato na mabwana za watu? Unaruka mkojo unanda kukanyaga mavi.

Shida kubwa kwako ni pro-mfumo dume ila kama utakaa na kutafakari bila kumundermine Mungu ipo siku utajua hakuna mfumo dume isipokuwa isipokuwa ni hisia na mindset ya mtu hasa wanawake kuona kuna mfumo dume! Suala la ukatili si la jinsia ni kwa mtu yeyote! Hapa huyu mama hanyanyaswi wala nini kosa kubwa la mama huyu; kukiuka makubaliano la pili kutaka kuhalalisha makosa yake kamleta mtoto sawa jamaa kakubali still bado anafanya dating za kijinga na huyo bwana! Wanawake kiukweli nyie ni nusu ya mwanaume kama mlivyochukuliwa ubavuni mwetu ata akiri mlichukua kiasi kidogo sana kuwatofautisha na wanyama basi.
 
Mi nitafika hata miaka 50 nje ya ndoa SIZAIIII! Nyie mtoto unavomnyakwa shida baadae anageuka kama kikwazooo! Wanaume mna gubu nyieee, mbona mitoto yenu mnazaa nje mnalelewa?

Hata unune vipi, japo tunashukuru unamuhudumia lakini wewe sio biological father kwake. Biological father japo hana hio ada lakini ana haki ya kumuona mwanae.

Kwa hio huyo dada atakusaidia nini kwa mfano ZAIDI YA KUKUCHUNA? Hata ukimuoa huyo mpora mabwana za watu visa viko pale pale. Hivi hujiulizi kakubali wewe mwenye mke, ukimuoa hato mbwato na mabwana za watu? Unaruka mkojo unanda kukanyaga mavi.

Kwa Mara ya kwanza umeongea pumba hapa jf.
 
Kaeni muelewane kuhusu kuwalea hao watoto. Kama baba wa mtoto ana uwezo kaza msimamo asomeshe damu yake na kama uwezo wake ni mdogo msaidie kumsomeshea huyo mtoto mungu atakulipa mbele ya safari. Duniani tunapita tyuu brother huwez jua huyo mtoto baadae pia anaweza kuwasaidia watoto wako wa damu.

Jamaa hofu yake kubwa hapa wife anamegwa na EX wake,hata hivyo kwanini mwanamke atumie ubabe? Kuna kitu hapa.
 
Changanya na za kwako Mkuu. Nadhani tatizo alilofanya ni kutokuambia kuwa anaenda muona mtoto. Hapo alikuwa anamprotect mtoto. Jaribu kumfikiria pia kwa maelezo yako km nimekuelewa ni kuwa mlikubaklina baba mtoto aendelee na matunzo ya mtoto. Nadhani ikiwa pamoja na ada hivyo kwa huko shule baba na mama waliotambvulika ni mkeo na baba mtioto wako. Nadhani tatizo si kuoa mwanye mtoto ila ni jinzi mlivyokubaliana. Ili kuepusha migongano kwa upande wangu nadhani ukikubali kumyuoa mwenye mtoto kubaliane kumchukua moja kwa moja. Hii itasaidia hata kukata mawasiliano na baba mtotio.

Kuhusu huyo wa lift nisingekushauri kwani utaonmgeza complications. Huku Mkeo ana mtoto wa nje, tayari mna watoto wa ndoa baadae huyu utakaemuoa aje kutuza watoto wa mwke wako wa ndoa nae aje apate wake! Huoni kama complications zitaongezeka. Kaeni na wazazi mlisolve na kuweka misimamo kwa mustakhabal wa ustawi wa familia yako.
 
......kama unamuacha pont five wa kiarabu sawa tu, ni uamuzi wako na uanwez akuwa sahihi. kumbuka kuna cost, masumbuko, mishemishe mingi katika kuachana etc ambapo sikushauri ukimbilie ndoa tena mapema na dada wa jirani. kuweni tu na mahusiano kwanzo mpaka utakapoona uko comfortable na umeweza kuhandle issue zote.
 
Ndoa si lelema baba, kuwa wafanya kuoa mwaka huu likitokea tatzo unamuacha, ndoa yahitaj uvumilivu wa hali ya juu tn juu haswa. Na hyo story yako ni moja ya mtihan katika ndoa.. Hivyo piga moyo konde myazungumze hayo, yaishe na maisha yaendelee km kawaida. Lakn hamna kuachana hapo ndoa ya kikristo hyo.. Uvumilivu na punguza hasira, ongea nae akulelewee wew n mtu wa aina gan, na misimamo yako ni ipi. bhaaas

Pagumu sana hapa mkuu!
 
pole sana kaka uamuzi uliochukua ni mzuri pingamizi me sina
 
kwani wangapi wameoa wanawake wa kawaida tu ila still ndoa zao zimejaa mapichapicha kama filamu ya nsyuka?....mkuu cha msingi ni kuomba tu kupata mwanamke anaejielewa....kuna watu wameoa wanawake wenye watt na ndoa zao zina amani,wanaishi bila matatizo

Damu ni nzito kuliko maji aisee. Mwanamke akishazaa yule motto atakuwa kiunganishi kati ya mwanaume na mwanamke hata kama wameachana ipo siku watakutana na kukumbushia Enzi zao tu.

Nyie wote mliooa wanawake wenye watoto na wanaume wengine imekula kwenu. Kubalini kusaidiwa mara moja moja kwa sababu huwezi kujua walianzia wapi mpaka wakazaa mtoto.

Pole sana mkuu. Ni kweli baadhi ya wanandoa ambao mwanzo walikuwa na wapenzi na hadi kuzaa nao watoto pindi wanapoolewa/kuoa tena bado huwa na mahusiano na hao wapenzi wao wa zamani. Hii hutokana na sababu kwamba wanakuwa waliachana huku wakiwa bado wanapendana kwa kiasi fulani.

Km ni kweli una ushahidi tosha kuwa anatoka kimapenzi na mpenz wake wa zamani na kwa kuwa hadi maandiko matakatifu toka kwenye biblia yanasena mtu hatamwacha mwenzi wake ila tu ikiwa ni kwa sababu ya UZINZI.

Kaa naye umuulize na muongee vizuri. Kama atakiri na kukuomba msamaha basi MSAMEHE. Kama hatakiri basi ruhusu nafsi yako ifanye maamuzi

Kuna mshkaji wangu mmoja alinambia tena jana, wanawake wa kiarabu wa bara wana tabia mbovu, na hilo yeye alithibitisha kwa mwanamke wake, ambaye alikuwa akichukuliwa na rafiki yake, na mwanamke alijiona kuwa jamaa hajui, siku moja yule demu kaja kisiwani kwa mshkaji wangu, alikuwa na nyege zake, jamaa kamchomolea na kukataa hilo jambo, na akampasulia ukweli yule msichana, yule msichana alitahayari na kuona aibu, yule msichana alimwambia jamaa najua wewe ni mtu mzuri sana Sijawahi kupata, umenisaidia vya kutosha as the same time unajua ninayokukosea, akamwambia kama unataka kiowa usiowe Dar wanawake wa kiarabu, tunatabia chafu. Wallah mwanamke alitamka hayo.
 
Dah...Tunajifunza kwa hili... Ilibaki kidogo tu niingie mkenge...!

Hili somo tosha, ya nini kujibebesha mizigo ya wengine wakati kila mwaka kuna watoto wazuri wanamaliza vyuo vikuu...!

Ngoja nikaipige chini hii iliyoniganda mapema....!!!

Mkuu umenifanya nimecheka mpaka kila mtu kanishangaa hapa!.... Nipo kwenye hali hii ni shida sanaaaa!
 
Back
Top Bottom