Zamaulid
Platinum Member
- May 25, 2009
- 20,216
- 16,541
Nilichoona umenogewa na vitatu
1) lift ya gari
2) penzi la huyo dada
3) Kusaidiwa matumizi
Hebu fanya kazi kwa juhudi acha kupenda miteremko kijana maana umeanza kujitetea kwenye mshahara
Kwa hiyo unataka amsaidie mwanamme mwenzie kulipa ada....