Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,406
Duh watu mna mioyo, juia kbs mtu mwenye kid? Never ever, komaa tu ndoa ya kikristo hiyo
hahahah!!! toto la kiharabu lilifanya kichwa kidogo kikazidi akili kichwa kikubwa...haya maswali hayakuwa na nafasi kwa kipindi kile lolJamaa kaona toto la kiarabu hili siliachi liwalo na liwe lol hata kama hajaqualify kitaeleweka mbele kwa mbele..mtu ameolewa mwanzoni akaachika hujiulizi kwanini kwanza??mpaka uingie uuvae mkenge!!
Aiseee Unamlipia Mtoto Wa Mwenzio Ada Halafu Baba Yake Na Mkeo Wanaenda Kumuona Shule Daaaah! Ulifanywa Zuzu Mkuu
baba mzazi wa mtoto ni majanga huyo. hatoi ada ila never miss visiting day!!! heheheiyaaaaa
Nilichoona umenogewa na vitatu
1) lift ya gari
2) penzi la huyo dada
3) Kusaidiwa matumizi
Hebu fanya kazi kwa juhudi acha kupenda miteremko kijana maana umeanza kujitetea kwenye mshahara
Duh watu mna mioyo, juia kbs mtu mwenye kid? Never ever, komaa tu ndoa ya kikristo hiyo
Kwani mmeshafunga ndoa? kama bdo piga chini wekeza hela zako zote kwa watoto wapate elimu ya maana kwanza! huyo jirani yako akieleweka kuhusu matunzo ya watoto na kuwahudumia vizuri weka mchumba huyo ndani! ili kumbuka elimu kwa watoto kwanza