Senior Boss
JF-Expert Member
- Aug 19, 2011
- 3,405
- 3,702
aisee ili ni darasa tosha kwa sisi mabachelor tunaotaka kuingia kwenye ndoa
Mwanangu we acha tu.... Dah nimejikuta navuta pumzi kwa nguvu. Daaah, Kuna nyumba za watu zina makubwa balaa.
aisee ili ni darasa tosha kwa sisi mabachelor tunaotaka kuingia kwenye ndoa
Emotions vanish too my dear kuna watu wametendwa acha...kuna tofauti ya kuachana kwasababu ndogondogo ambapo bado hisia zinakuwepo(walokuwa group hili ndio wanakuwa weak na wanatetereka kirahisi) au sababu nje ya uwezo wenu na kuna vitu ukikumbuka huwish kuvikumbuka maishani au vijirudie HELL NO!So again inategemea na mtu na changamoto alizopitia!Mfano mtu hakusaidii chochote miaka yote kisha kwasababu umeolewa/umeoa anajileta kujihusisha na mtoto ka si unafiki nn huo? Huo mkuku ntakao mtoa nao acha kabisa!Psychologically mwanamke ni emotional zaid so huwa anaongozwa na hisia,..huwezi kumbadilisha akiwa na emotional feeling juu ya mtu au kitu fulani.
Waheshimiwa habari za mida
Mimi ni IT specialist kwenye shirika moja lisilo la kiserikali mshahara wangu ni Wa kati si mkubwa sana wala si mdogo sana
Lakini pia Mimi ni lecturer part time nafundisha jioni wafanyakazi katika chuo kimoja hapa DSM
Nimeoa na Nina watoto wawili
Huyu mke wangu ni chotara Wa kiarabu
Wakati tumeanza tumeanza kudate hakuniambia kama ana mtoto na kwa kweli alivyo mzuri sikutilia shaka kama ana mtoto maana hata nyonyo zake zilikuaa zimesimama kama mtoto anaebalehe
Baadae mapenzi yaliponoga ndipo akaniambia kuwa ana mtoto alie darasa la kwanza yupo kwa mama mzazi yaani bibi Wa mtoto
Kwa kuwa nilikua tayari nimezama kwenye mahaba mazito ikabidi nikubali tu maana by that time nilishatangaza ndoa ilikua ni point of no return
Ila mchumba alianihakikishia kuwa mtoto wake hatakua kikwazo kwenye ndoa yetu na kwamba huduma zote za malezi ikiwa ni pamoja na shule, malazi,maradhi na mengineyo yatakua chini ya baba Wa mtoto
Huo ndio ukawa mkataba wetu na kwamba mtoto ataishi kwa bibi na baadae atahamia kwa baba mzazi ambae ni Mwarabu mwenzie
Akabadli dini kuja ukristo tukafunga ndoa haikua shida maana mama ake pia ni mkristo baba ndio muislam na aliwatelekeza siku nyingi
Miezi sita baada ya ndoa akamleta mtoto kwetu kuishi permanent kinyume na mkataba wetu, anyway nikawa na roho ya utu nikasema haina shida kuepusha Shari
Mtoto wake alipofika darasa LA NNE wakampeleka boarding sisi hapo tuna watoto wawili mapacha Wa miaka minne kasoro nadhani
Mimi ndie nililipa ada ya boarding
Siku moja katikati ya wiki nilibeba mahitaji kadhaa nikampelekea yule mtoto shuleni niliomba wakaniruhusu kuingia pale
Surprisingly matron akaniambia huyo mtoto mbona ana vitu vya kutosha mama ake na baba ake walikua hapa juzi siku tano hivi zimepita.
Akaniuliza kwan we nani Wa mtoto nikamweleza
Akashangaa akaniambia mbona walikua wamekaa na mtoto kama ni familia inayoishi pamoja akanipa kama umbea flani hivi
Nilishangaa kwa kuwa mke wangu hakuniambia kama alienda kwa mtoto na mzazi mwenzie alikuwepo
Visiting day moja nikaenda na watoto wangu kumuona mwenzao, mke wangu aliondoka mapema akatangulia tulipofika pale tukakuta jamaa nae yupo wamekaa na mtoto na wife, Mshikaji akaaga bila kunisalimia akaondoka zake
Nilishindwa kumwelewa nikazuga tukaendelea na mengine
Hatimae yule mtoto akamaliza LA saba, Mama ake akamtafutia shule nzuri sana yenye matokeo mazuri kila mwaka
Kimbembe kikaja kwenye ada, Mimi nikamwambia mwisho wangu ilikua ni LA saba sasa walipe wenyewe maana watoto wangu pia wameanza shule ya ma padre Lieberman ada wote wawili ni million sita kwa mwaka
Bado Nina mdogo wangu Wa kike anasoma chuo nalipa Mimi ingawa ana mkopo asilimia ishirini
Bado gharama za uendeshaji familia za kila siku, hivyo nikamwambia sitaweza kulipa, ni vema babaake ajipange kulipa
Wakuu kwa kauli yangu hiyo ulizuka mgogoro mkubwa Huduma zote muhimu nilisitishiwa pamoja na za chumbani
Akaondoka akarudi kwao kwa mwezi mzima baada ya kusuluhishwa akarudi mm nikashikilia msimamo kuwa silipi ada
Hivi karibuni wakati hayupo nimeingia kwenye mapenzi na mdada Jirani yangu amepanga upande anaish na ndugu
Wife amerudi sina hamu nae tena, huyu demu Jirani nimekua nikimpa lift asubuhi kwa muda mrefu sasa na ndipo tukaelewana na anajua matatizo yetu
Alikua akitusaidia sana nyumbani wakati wife ameondoka
Nimedhamiria kumuacha wife mazima nimeshachoka
Juzi baba amekuja akaniambia nilikushangaa ulipojifanya mjuaji kuoa mwanamke mwenye mtoto tukakuzuia ukalazimisha sasa umeyaona?
Wakuu nipo njia panda ?
Nifanyeje?
Mkuu ni huyo mwanamke tu hana msimamo...mimi nina mtoto na binti ambaye hatukuoana! Sasa hivi mie nimeoa na yeye ana ndoa yake nzuri tu kwa miaka kadhaa! Hatukuwahi kugombana na hadi sasa ni sawa na dada yangu!! Hata ikitokea tukionana hatujawahi kuleta hisia za maloveee! Namheshimu na yeye ananiheshimu kama kaka yake!! Mtoto ninaye mimi na hajawahi kuwa kikwazo kwa familia zetu...
Waheshimiwa habari za mida
Mimi ni IT specialist kwenye shirika moja lisilo la kiserikali mshahara wangu ni Wa kati si mkubwa sana wala si mdogo sana
Lakini pia Mimi ni lecturer part time nafundisha jioni wafanyakazi katika chuo kimoja hapa DSM
Nimeoa na Nina watoto wawili
Huyu mke wangu ni chotara Wa kiarabu
Wakati tumeanza tumeanza kudate hakuniambia kama ana mtoto na kwa kweli alivyo mzuri sikutilia shaka kama ana mtoto maana hata nyonyo zake zilikuaa zimesimama kama mtoto anaebalehe
Baadae mapenzi yaliponoga ndipo akaniambia kuwa ana mtoto alie darasa la kwanza yupo kwa mama mzazi yaani bibi Wa mtoto
Kwa kuwa nilikua tayari nimezama kwenye mahaba mazito ikabidi nikubali tu maana by that time nilishatangaza ndoa ilikua ni point of no return
Ila mchumba alianihakikishia kuwa mtoto wake hatakua kikwazo kwenye ndoa yetu na kwamba huduma zote za malezi ikiwa ni pamoja na shule, malazi,maradhi na mengineyo yatakua chini ya baba Wa mtoto
Huo ndio ukawa mkataba wetu na kwamba mtoto ataishi kwa bibi na baadae atahamia kwa baba mzazi ambae ni Mwarabu mwenzie
Akabadli dini kuja ukristo tukafunga ndoa haikua shida maana mama ake pia ni mkristo baba ndio muislam na aliwatelekeza siku nyingi
Miezi sita baada ya ndoa akamleta mtoto kwetu kuishi permanent kinyume na mkataba wetu, anyway nikawa na roho ya utu nikasema haina shida kuepusha Shari
Mtoto wake alipofika darasa LA NNE wakampeleka boarding sisi hapo tuna watoto wawili mapacha Wa miaka minne kasoro nadhani
Mimi ndie nililipa ada ya boarding
Siku moja katikati ya wiki nilibeba mahitaji kadhaa nikampelekea yule mtoto shuleni niliomba wakaniruhusu kuingia pale
Surprisingly matron akaniambia huyo mtoto mbona ana vitu vya kutosha mama ake na baba ake walikua hapa juzi siku tano hivi zimepita.
Akaniuliza kwan we nani Wa mtoto nikamweleza
Akashangaa akaniambia mbona walikua wamekaa na mtoto kama ni familia inayoishi pamoja akanipa kama umbea flani hivi
Nilishangaa kwa kuwa mke wangu hakuniambia kama alienda kwa mtoto na mzazi mwenzie alikuwepo
Visiting day moja nikaenda na watoto wangu kumuona mwenzao, mke wangu aliondoka mapema akatangulia tulipofika pale tukakuta jamaa nae yupo wamekaa na mtoto na wife, Mshikaji akaaga bila kunisalimia akaondoka zake
Nilishindwa kumwelewa nikazuga tukaendelea na mengine
Hatimae yule mtoto akamaliza LA saba, Mama ake akamtafutia shule nzuri sana yenye matokeo mazuri kila mwaka
Kimbembe kikaja kwenye ada, Mimi nikamwambia mwisho wangu ilikua ni LA saba sasa walipe wenyewe maana watoto wangu pia wameanza shule ya ma padre Lieberman ada wote wawili ni million sita kwa mwaka
Bado Nina mdogo wangu Wa kike anasoma chuo nalipa Mimi ingawa ana mkopo asilimia ishirini
Bado gharama za uendeshaji familia za kila siku, hivyo nikamwambia sitaweza kulipa, ni vema babaake ajipange kulipa
Wakuu kwa kauli yangu hiyo ulizuka mgogoro mkubwa Huduma zote muhimu nilisitishiwa pamoja na za chumbani
Akaondoka akarudi kwao kwa mwezi mzima baada ya kusuluhishwa akarudi mm nikashikilia msimamo kuwa silipi ada
Hivi karibuni wakati hayupo nimeingia kwenye mapenzi na mdada Jirani yangu amepanga upande anaish na ndugu
Wife amerudi sina hamu nae tena, huyu demu Jirani nimekua nikimpa lift asubuhi kwa muda mrefu sasa na ndipo tukaelewana na anajua matatizo yetu
Alikua akitusaidia sana nyumbani wakati wife ameondoka
Nimedhamiria kumuacha wife mazima nimeshachoka
Juzi baba amekuja akaniambia nilikushangaa ulipojifanya mjuaji kuoa mwanamke mwenye mtoto tukakuzuia ukalazimisha sasa umeyaona?
Wakuu nipo njia panda ?
Nifanyeje?
Inategemea na mtu mkuu na makubaliano au maelewano ya watu wawili binafsi!!Mimi nina mfano hai wa watu wanaoishi na walodumu miaka mingi lkn misimamo ni muhimu tena sana ukiwa legelege tu inakula kwako!Na kwann umebase kwa wanawake tu?na wanaume waliozalisha je?
Afu una-quote the whole post unajibu 2sentencesView attachment 244980
aisee ili ni darasa tosha kwa sisi mabachelor tunaotaka kuingia kwenye ndoa
Kila mtu na mtazamo wake mkuu...wewe kama unaona walozaa hawafai haibadilishi mtazamo wangu mimi binafsi....its a world full of choices and opportunities!!'Inategemea' tayari inatupa wsws, hao hawafai. Kwa nini ubase na anecdotes wkt mabinti bikira wako wengi tu?
Emotions vanish too my dear kuna wametendwa acha...kuna tofauti ya kuachana kwasababu ndogondogo ambapo bado hisia zinakuwepo(walokuwa group hili ndio wanakuwa weak na wanatetereka kirahisi) au sababu nje ya uwezo wenu na kuna vitu ukikumbuka huwish kuvikumbuka maishani au vijirudie HELL NO!So again inategemea na mtu na changamoto alizopitia!Mfano mtu hakusaidii chochote miaka yote kisha kwasababu umeolewa/umeoa anajileta kujihusisha na mtoto ka si unafiki nn huo? Huo mkuku ntakao mtoa nao acha kabisa!
Mi nitafika hata miaka 50 nje ya ndoa SIZAIIII! Nyie mtoto unavomnyakwa shida baadae anageuka kama kikwazooo! Wanaume mna gubu nyieee, mbona mitoto yenu mnazaa nje mnalelewa?
Hata unune vipi, japo tunashukuru unamuhudumia lakini wewe sio biological father kwake. Biological father japo hana hio ada lakini ana haki ya kumuona mwanae.
Kwa hio huyo dada atakusaidia nini kwa mfano ZAIDI YA KUKUCHUNA? Hata ukimuoa huyo mpora mabwana za watu visa viko pale pale. Hivi hujiulizi kakubali wewe mwenye mke, ukimuoa hato mbwato na mabwana za watu? Unaruka mkojo unanda kukanyaga mavi.
Ni kosa ambalo sitakuja fanya.
Kuoa mwenye mtoto hapana aiseee maana mbeleni ni matatizo