General Akudo
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 560
- 829
wanaume tunaridhika lakini hatutosheki
wanawake wanatosheka lakini hawaridhiki
Hasara Umfika Mwenye Mabezo
wanawake wanatosheka lakini hawaridhiki
Hasara Umfika Mwenye Mabezo
Pitia kwa mama Isuja pale tabata bima, kuna order yako ya kuku mzima, chips yai sahani mbili. Kisha nenda kwa mangi mwambie akupatie kinywaji unachotaka.....SK2016, Siku zote mke akisema muachana au ataondoka kwao hapo kuna mambo mawili.
1 kwao Ndugu zake wanamjaza kiburi kwamba kama vipi arudi nyumbani.
2 kuna jamaa linamtia so linamjaza upepo wa kiburi na bila mwanamke kujua kwamba huyo mwanaume anampenda kwakuwa yuko kwa mme wake.
Fanyia kazi hayo Mkuu utapata jibu,
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli mkuu ila mambo yanabadilika kila sekundeMkuu mwaka jana (2018) machi 29 uliandika kwamba ndoa ni tamu sana mpaka ukawa unatushangaa sisi ambao hatujaoa
Mara ya mwisho ulimpiga makofi lini?Ah wala sijipi hizo shida nyengine aisee
Anaonekana hawez ishi mbali na familia yke cause ni mzanzibar na nimemleta huku tz bara
Sent using Jamii Forums mobile app
Wenzio huwa hatuongei haya mambo tunapiga kimya huku tukiomba mungu adumishe ndoa zetu. Kujimwambafai mbele za watu kuwa unampenda sana au unapendwa sana matokeo yake ndo haya. Hayatabiriki haya mambo mkuu. Pole sana.
Pole sana
Utakua mwanahistoriaMkuu mwaka jana (2018) machi 29 uliandika kwamba ndoa ni tamu sana mpaka ukawa unatushangaa sisi ambao hatujaoa
Hivi wewe bana unasema tu, mwanaume kabisa damu inachemka!Makalio hayana chochote ndani ya nyumba zaidi ya kuzeesha furnitures tu.